jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Nasubiri kuwa waziri
hiyo doc video hakuna kitu kuhusu tween teens na mwisho anakwambia hakunaa ndege hivi sasa duniani inanunukiwa kama dreamliner.Naona wanatuandalia kifo. Kama mtengenezaji anagoma kupanda ndo sembuse mm kapuku. Siji panda hilo kitu![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu ukumbuke hiyo ndege 0019 RwandaAir waliinunua.Ndege haijawahi kutumika, imekaa muda mrefu bila kutumika na yeyote ikisubiri mteja wa kuinunua
.Mkuu ukumbuke hiyo ndege 0019 RwandaAir waliinunua.
Ref soma viambatanishi![]()
![]()
.
Aisee uko vizuri! Hongera!Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Mkuu kuna mambo mawili.. Inawezekana kweli tumepigwa au hatujapigwa ni siasa tu..
1)Delivery time inawezekana ikawa kubwa kwa kufanywa hivyo makusudi ili tusistuke lakini ndege ikawa imepark to somewhere inasubiri hiyo time ...
COLOR=RED]2)[/COLOR]Delivery time inaweza kuwa kubwa pia kama kweli tuliyonunua ni L19, na labda hiyo L19 inahitaji simple improvement ifanane na L21 ...
COLOR=RED]3)[/COLOR]Sio dhambi sisi kumiliki hiyo series ya L19 ila cha muhimu ni kuzingatia advantage na disadvantage ya hiyo product against matumizi yetu tunayotaka kuitumia hiyo ndege ...
Wewe ni mp*uzi. Usiandike uongo hapa hata mara noja.Toa na maji
Una cheti?Wewe ni mp*uzi. Usiandike uongo hapa hata mara noja.
Andika unachokijua, usichokijua danganya kijiweni kwako.
Ok well said.Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Kwenye hili namtetea magu kwa angle moja. Kuna uwezekank JPM hajatapeli ila ametapeliwa.Ok well said.
Unaponishangaza ni hapo unaposema una imani na JPM.. Utakuwa vipi na imani nae wakati yeye ndie ameshugulikia deal yote ya hii ndege. Kama tumepigwa yeye ndie Mhusika no 1 and not otherwise.
Kumbuka hata negotiations na Boing kafanya yeye maana yule President wa Boing alivyokuja straight alienda kukutana nae Ikulu.
Kama kuna any ufisadi kwenye hili, JPM yumo.
Unakumbuka mchakato ulivokuwa? Na ushapata uhakika ni hzo ndege? Subir hilo dege lije tuoneKwenye hili namtetea magu kwa angle moja. Kuna uwezekank JPM hajatapeli ila ametapeliwa.
Lilikuwa kosa takatifu kumexpose raisi na meneja mauzo ambaye kazi yake kuu ni kuvutia wanunuzi kwa raisi asiye na uzoefu halafu impulsive.
Kajiona mjanja kuamua haraka haraka kumbe wajanja wamemuingiza kingi.
So, basically kosa la JPM ni kujifanya mjuaji kumbe kwenye haya maswala mweupe.
Ndio maana tumeuziwa hili dege la showroom kwa bei ya brand new
Ndege ni toleo la mwanzo la ndege 20 na sio zinazotengenezwa baada ya hizo 20 nandege ni teyari iko ready na si ya kwamba inatengenezwa from scratch. By the way ndege hiyo ni mpya haijatumiwa na kampuni yeyote lakini ilikaa kiwandani kwa miaka mingi bila kupata mnunuzi ndio bei ikapungua.Ahaa sasa nimeelewa.
Kwahiyo mkuu unatuambia kuwa matengenezo tunayoambiwa ni ya vitu vidogo vidogo tu.
Na sio kwamba tunatengenezewa ndege mpya kabisa????
Nauliza hivyo kwasababu kama ingekuwa ndege mpya kabisa basi isingekuwa kwenye list ya zile za bei ya punguzo.
Ila mkuu uwe na uhakika kwamba si ndege mpya (ila ni marekebisho kutokana na matakwa ya mnunuzi). La sivyo tutapotosha watu hapa ujue.
Unataka zije nylon covered seats ndio mseme ni brand new?Unakumbuka mchakato ulivokuwa? Na ushapata uhakika ni hzo ndege? Subir hilo dege lije tuone
Unaona sasa? Emu leta tena huo ushahid wa series number ya airtanzania iliyoko huko kiwandan. Afu uje na valid source.Unataka zije nylon covered seats ndio mseme ni brand new?
Unakngelea mchakato,kuna mchakato gani zaidi ya kauli ya jpm kuzinunua?kuna tenda iliyotangazwa?inaweza kutoa majibu hiyo tenda wali-apply makampuni mangapi?
Watu wanatazama airframe na series number.,hilo dide limeundwa toka 2009 hadi leo lilikosa wa kulichukua.
Hii tabia ya kununua vitu vya showroom( showcase) ni tabia turufu ya kanda ile., sio jambo la kushangaza.
Afu uje usome na hii. Machakato ulikuwepo au ulitaka ushirkishwe?Unataka zije nylon covered seats ndio mseme ni brand new?