Wewe una mental incapacity.,sitapoteza muda na wewe tena.Unaona sasa? Emu leta tena huo ushahid wa series number ya airtanzania iliyoko huko kiwandan. Afu uje na valid source.
Nitajibu walio juu ya level ya kusoma na kuandika. Adios

Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Jamani kwani sumsung note 7 hamkuona janga lake? wale walio kimbilia mwanzo nn kiliwapata? iyo ni simu kwa ndege ikizingua unaimbiwa mbinguni kuna makao mazuri. sa cjui tulienda tukaona ayo makaoMtu ukinunua simu mpya niseme labda ya mwaka juzi ambayo ni smartphone, je utaanza kuitumia ilivyo au wataiupdate wauzaji au wewe kama haswa unataka kuhakikisha ipo swafiiiiiiiiiiii na haitakuletea matatizo? Na kwa ndege nani inatakiwa aiupgrade au unataka ije kama ilivyokuwa mwaka uleeeeee na mpya mengi yapo hadi kwa software n.k.
Haya mjuzi nijuze mimi?
Wewe una mental incapacity.,sitapoteza muda na wewe tena.
Nitajibu walio juu ya level ya kusoma na kuandika. Adios
Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.

Teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh pole sana mkuu BujibujiNeema za nchi hii zisinipite, niweke kwenye pipeline, mitaani huku nzala ina luma
Asante mkuu, Mungu akubariki sana. Sijui huwa kwa nini watu wazalendo kama ninyi huwa hamzawadiwi kwa njia moja au nyingine. Hata hivyo, nadhani Rais atapata taarifa hii ili hatimaye uchunguzi wa kina ufanywe . Ni matumaini yangu kwamba wote watakaobainika kuwa wamehusika na ufisadi huu kwa njia moja au nyingine watawajibishwa kulingana na sheria zetu.Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
The Tomorrow People, nimeisoma kwa makini sana posting yako na ina ukweli kadhaa ndani yake. Hata hivyo kwa faida ya wasomaji na wachangiaji wenzetu ni vizuri nikaweka sawa baadhi ya mambo ili kuutenda haki mjadala huu. Maelezo na ufafanuzi wako wa maana ya serial number, line number, na hata terrible teen kama ulivyoyajengea kwa kutumia taarifa kutoka mitandao mbalimbali ni sahihi kabisa.
Tatizo langu, kwa kutumia elimu yangu ndogo katika mambo ya ndege, linakuja kwenye conclusion yako na kutumia hizo website kuthibitish hoja yako bila kujua au kusema nani wamilki wa hizo website. Kampuni ya Boeing ndio iliyoiuzia ndege Tanzania hivyo kwa hali ya kawaida lazima kungekuwa na uthibitisho wa ununuzi wa ndege hii kutoka kampuni hiyo. Uthibitisho wa Boeing unaoutumia katika posting yako ni wa bei ($224.6M) na siyo kuwa Tanzania imeuziwa mojawapo ya Terrible teens. Ni vizuri pia tukaelewa maana ya list prices ambayo ndio imeonyeshwa katika website ya Boeing ili kujua kuwa hii siyo bei waliyouziwa Tanzania. Uthibitisho uliotumia kuonyesha kuwa Tanzania imeuziwa mojawapo yaTerrible teens ni kutoka tovuti zifuatazo:
Boeing 787 Register - Welcome
Hii ni tovuti ambayo haimilikiwi wala kuwa na uhusiano wowote na kampuni ya Boeing. Kwa mtazamo wangu na jinsi nilivyoangalia habari zilizomo, sio rahisi kuzichukulia habari zao kwa uhakika hata wa asilimia moja. Hii ni website ya amatures hivyo kutumia habari zao kama uthibitisho wa Tanzania kununua mojawapo ya Terrible teens hazina mashiko. Uangalifu wa hali ya juu na kutafuta habari katika vyanzo vilivyo karibu au kutoka ndani ya Boeing yenyewe ni muhimu katika kuthibitisha jambo hili badala ya kuamini habari kutoka website au blog ya mtu mmoja tena amature. Sioni kwa nini Tanzania wangeamua kusubiri karibu miaka miwili kupata ndege hii wakati iko tayari ikisubiri mnunuzi. Muda mrefu kiasi hiki ni kwa ajiri ya kutengeneza ndege mpya. Kama ndege tayari ina serial number na line number, lazima ingekuw katika website ya Boeing au website za makampuni credible hasa yanayotoa habari za kibiashara. Ajabu sijaona reference ya website yoyote inayoaminika kimataifa kwa habari za kibiashara iliyobeba habari hii pamoja na kuwa na mvuto kutokana na hizo terrible teens. Kwa kifupi hii ni habari ya kutunga na ndio maana website zinazoaminika kimataifa haziwezi kuitumia habari hii kwa kujua kuwa ni uongo na uzushi kwa kuogopa matatizo ya kisheria.
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
Websita hii haina sehemu yeyote inayosema Tanzania imenunua mojawapo ya Terrible teens kama inavyodaiwa kwenye website ya huyu jamaa hapo juu. Website hii ambayo ina forum kama ya jukwaa la siasa kwa maswala ya ndege inazungumzia kuwapo Terrible teens na kuishia hapo. Sasa sijui ni kwanini imetumika kama kithibitisho kuwa Tanzania imenunua mojawapo ya Terrible teens. Inajaribu kuelezea failure ya uongozi wa Boeing mwanzoni mwa projekti ya 787.
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
Website hii inazungumzia habari ya Ethiopia kununua Terrible teens kwa matumizi yao na siyo Tanzania kununua mojawapo ya Terrible teens. Wanatoa pia historia ya manunuzi yanayotazamiwa. Inaonekana habari hii ni ya zamani kidogo. Haijatoa uthibitisho kuwa Tanzania imenunua mojawapo ya Terrible teens hivyo haina uhusiano na habari za Tanzania kununua mojawapo ya Terrible teens.
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Hii ni website rasmi ya Kampuni ya boeing na inatoa habari za tanzania kununua ndege ya Boeing 787-8 na kujiunga na familia ya Boeing. inathibitisha bei kuwa ni list price. Mara nyingi list price siyo lazima iwe ni contarct price (bei iliyoko kwenye mkata) baada ya punguzo. Bei hii ni kwa ndege mpya na siyo mojawapo ya Terrible Teens kama inavyokuwa speculated kwa kutumia habari za mtandao wa amature mmoja. huyu ni mtu ambaye alikuwa anatoa habari za formula one na kuamua kuiuza website hiyo na kuanzisha hii ya B787.
Ninahkika 100% kuwa Boeing hatajaribu kujiingiza katika aibu kama hii kwa kuiuzia Tanzania ndege ya Terrible Teens huku akijuwa kuwa makabidhiano ya ndege huhusisha uhakiki wa uzito. Sijui atahonga wangapi iliwakubali kuchukua ndege yenye uzito tofauti na ule Tanzania wanataka. Ninaona mambo mengi sana kwa kutumia ufahamu wangu mdogo wa mambo ya ndege yanayonifanya nisiamini hata chembe habari ya Tanzania kuingizwa mkenge. Rbu tufuatie na baadae mje mnisute kwa kusema uongo wakati mojawapo ya Terrible Teens itakapo kuja Tanzania. Nilisema wakati wa bombardier kuwa sio kweli kuwa zimetumika bali ni mpya. nikamaliza kwa kusema I stand to be hanged kama itathibitishwa kuwa nilichosema ni uongo. I stand to be hanged kama itathibitishwa kuwa Tanzania imenunua mojawapo ya terrible teens au ndege hiyo sio mpya au haijatengenezwa kwa order ya Tanzania.
Tatizo umekuwa mshabiki wa Bashite mpaka umekuwa mjinga kama yy. Usichoelewa kitu gani hapa?Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Tatizo ni hii lugha ya malkia.Hapa boeing wanasema wameshaziuza hizo teens zote tangu julai 2016.
hii ya Tanzania Ni toleo jipya
Boeing's most turbulent saga of the past decade is finally over
NOD kwa jinsi ulivyotetea swala hili, inaelekea umehusika kwa njia moja au nyingine katika sakata hili .Mkuu kuna shida, na inaelekea mmepiga. Ngoja tusubiri tuone kama mtapona, lakini kwa jinsi mambo yalivyo kuna haja ya Bunge na CAG kuhusishwa ili mbivu na mbichi zifahamike . Kama tuhuma hizi ni kweli, dah,kweli Tanzania in shamba la bibi. Ingekuwa China watu wangekula shaba mkuu.The Tomorrow People, nimeisoma kwa makini sana posting yako na ina ukweli kadhaa ndani yake. Hata hivyo kwa faida ya wasomaji na wachangiaji wenzetu ni vizuri nikaweka sawa baadhi ya mambo ili kuutenda haki mjadala huu. Maelezo na ufafanuzi wako wa maana ya serial number, line number, na hata terrible teen kama ulivyoyajengea kwa kutumia taarifa kutoka mitandao mbalimbali ni sahihi kabisa.