Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
- Thread starter
- #21
Huyo MNYAMA ndio aliyezungumzwa UFUNUO 13Ushaambiwa wanao fanya haya matendo.
1. Kusujudia miungu wengine yaani sanamu au mnyama.
2. Kuwa na Chapa, kwenye Paji la Uso na Mkononi.
Wewe hapo usichoelewa ninini ?
-Hulijui paji la Uso ?
-Huujui Mkono ?
-Huijui alama ya Chapa kama kovu lililo pona ?
Au unataka kutuaminisha kuwa kila kitu kilichoandikwa kwenye Biblia lazima kwanza tukitafsiri toka kwenye nadharia ya siku ya Jumapili na Jumamosi ?
JE NI UFALME GANI HUO?
MAANA BIBLIA INATUAMBIA MNYAMA NI UFALME AU TAIFA,
UKISHANITAJIA HUYO MNYAMA
ITAKUWA RAHISI KUIJUA ALAMA YAKE
PIA UTANIAMBIA SANAMU YA MNYAMA NI NANI