Kaka
AROON, Mbona sijaona sehemu unamzungumzia Papa na hiyo alama ya 666, ule unabii wa VICARIOUS FILI DEI umebatilishwa kama ule wa ujio wa Mwana wa Adam ulivyobatilishwa?
Otorong'ong'o
NDIO HUYO HUYO
ufalme huu una majina mengi
katika kitabu cha Danieli na kile cha Ufunuo. Tutajaribukujenga daraja la kuunganisha Danieli 7 na Ufunuo 13 kwa kuangalia vigezo vichache tu miongoni mwa vingi. Hukumu
iliyotajwa katika Danieli 7 imeamua kumwondolea ufalme nakumwangamiza, lakini baada ya kupewa utawala wake wa Awamu yaMwisho (Dan. 7:26; Ufu. 19:1-3; 18:4-8; 16:1,2,10,19-21;
17:1-11).
KIGEZO 1: PEMBE NDOGO ILIKUJA BAADA YA FALME 10 KUJITAWALA
(Dan.7:8)Falme 10 za Ulaya Magharibi zilizotajwa katika Sehemu ya
Kwanza ya somo hili zilijitawala mwaka 476 B.K. mara tu baada yaUfalme wa Warumi kuangushwa. Baada ya kuanguka ufalme huo
Askofu wa Rumi, ambaye baadaye aliitwa Askofu wa Maaskofu auPapa, alitawala katika mji wa Roma tu mpaka mwaka 538 B.K.
alipoitawala Ulaya Magharibi. Historia inaunga mkono.
KIGEZO 2: PEMBE NDOGO ILIZING'OA PEMBE TATU KABLA YA KUTAWALA
Falme tatu zilizong'olewa kwa amri ya Papa (Dan. 7:8,20,24)ni hizi - Waheruli waling'olewa mwaka 493 B.K.; Wavandali
(Vandals) waling'olewa mwaka 534 B.K.; Waostrogothi(Ostrogoths) waling'olewa mapema mwaka 538 B.K. Mataifa hayo
matatu yalikuwa yanampinga Papa. Yale mengine 7 kufikia mwaka508 B.K. yalikubali kuwa wakatoliki kwa kulazimishwa na mfalme
wa Ufaransa, Clovis, mwana mpendwa wa Papa. Historiainathibitisha.
KIGEZO 3: PEMBE NDOGO ILIKUWA TOFAUTI NA PEMBE ZILE KUMI (Dan.
7:24).
Pembe 10 ni falme za kisiasa za Ulaya Magharibi. PembeNdogo ni Ufalme wa Papa wa Kidini-Kisiasa. Historia inaungamkono. Kanisa la Kikristo ulimwenguni halina utawala wa kisiasa(Yoh. 18:33-38). Kwa hiyo, Ufalme wa Papa umepata mamlaka yake
kutoka kwingine, si kwa Mungu (Ufu. 13:1,2; 12:9). Hii ndiyomaana wanaouunga mkono wataangamizwa pamoja nao. Serikali zote
za kisiasa za dunia zimepewa mamlaka yao na Mungu (Rum. 13:1-7;1 Tim. 2:1-6). Kwa ajili hiyo zinawaadhibu wahalifu na kuwasifu
raia wema. Ufalme wa Papa unawaua watu wema (watakatifu) nakuwaacha hai wahalifu (Dan. 7:21).
KIGEZO 4: PEMBE NDOGO ILITAWALA KWA MIAKA 1260 (Dan. 7:25).
Wakati mmoja ni sawa na mwaka mmoja. Kwa hiyo wakati 1 +
2 + 1/2 = Nyakati 3 1/2 = Miaka 3 1/2. Mwaka 1 una miezi 12.
Kwa hiyo, miaka 3 1/2 = Miezi 3 1/2 x 12 = Miezi 42. Mwezi wa
Biblia una siku 30 (Dan. 6:7; Mwa. 7:24). Kwa hiyo miezi 42 =
siku 42 x 30 = siku 1260. Siku 1 ya unabii = mwaka 1 wakawaida. Hivyo siku 1260 ni miaka ya kawaida 1260. Angalia
maajabu! Mnyama yule wa Ufunuo 13:1-10,18 alipewa kufanya kaziyake kwa miezi ile ile 42 (Ufu. 13:5). Ajabu zaidi ni kwamba
Joka lile Kubwa Jekundu la Ufunuo 12 linawakilisha Rumi yaKipagani iliyotaka kumwua Kristo kupitia kwa Herode (Ufu.12:2-5;
Mt. 2:16) na tena linaiwakilisha Rumi ya Kipapa (Ufu. 12:6,14)ambapo tunaona mwanamke (kanisa la Mungu la kweli) akikimbilia
nyikani kwa siku 1260 au miaka 1260. Kigezo hiki kinajengadaraja ya kuitambua Pembe Ndogo ya Danieli 7 kuwa ni Mnyama yule
kama Chui wa Ufunuo 13. Tabia zinalandana sana. Upapaulitawala kihistoria kuanzia 538 hadi 1798 B.K., miaka 1260kamili.
KIGEZO 5: PEMBE NDOGO ILIWAUA WATAKATIFU (Dan. 7:21,25).
Zaidi ya watatifu milioni 50 waliuawa katika kipindi chautawala wa papa cha miaka 1260 kwa kosa la kufuata mafundisho ya
Biblia. Aliwaita "wazushi" (heretics); Biblia inawaita"watakatifu". Ni kweli upapa ulikuwa umelewa kwa damu yawatakatifu (Ufu. 17:6). Ni jambo la kushangaza mno kwa kanisa
kuua kanisa! Linganisha na Ufu. 13:7. Ni ufalme ule ule mmoja.
KIGEZO 6: PEMBE NDOGO ILIAZIMU KUBADILI MAJIRA NA SHERIA (Dan.7:25).
Sheria ni Amri Kumi za Mungu (Kut. 20:3-17). Upapauliazimu kuifuta kabisa Amri ya Pili inayokataza ibada yasanamu. Angalia Katekisimu za Kanisa Katoliki pamoja na Misaleutashangaa. Amri ya Nne inayohusu Sabato akaibadili na kuweka
Jumapili badala yake. Kwa hiyo ibada ya Jumapili iliwekwa naPapa kinyume cha Amri ya Nne. Katika kitabu cha Ufunuo Jumapili
inaitwa "chapa" au "alama" ya Mnyama, yaani, Alama ya MfalmePapa (Ufu. 13:l6,17). Katika gazeti la The Catholic Record,London, Ontario, la Septemba 1, 1923 maneno haya yamenukuliwa:
"Jumapili ni alama yetu ya mamlaka.... Kanisa li juu ya Biblia,na uhamishaji huo wa utunzaji wa Sabato [Jumamosi] ni ushahidi
wa ukweli huo." Sasa zikawa zimebaki Amri 9, sio 10. AkaigawaAmri ya 10 katika amri mbili kufidia ya pili iliyofutwa kabisa.
KIGEZO 7: PEMBE NDOGO INANENA MANENO MAKUU YA MAKUFURU
(Dan.7:8,20)
Hapa tutaangalia makufuru mawili tu. Kufuru la kwanza ni
madai ya kuwa yeye ni Mungu (Yoh. 10:30-33). Kwa vipi? Nanukuu:
"Papa ana cheo kikubwa mno, tena ametukuzwa mno kiasi kwamba
yeye si mwanadamu tu, bali kama ilivyo ni Mungu, tena ndiye
aliye Badala ya Mungu." ----- Lucius Ferraris, Prompta
Bibliotheca Canonica, Gombo la VI, uk. 438,442, chini ya makala
"Papa". Cheo cha Mungu alichojinyakulia ni "Baba Mtakatifu"
(Yoh. 17:11). Kufuru la pili ni kudai kuwa anao uwezo wa
kusamehe dhambi jukumu ambalo ni la Mungu peke yake (Luka5:20,21). Mungu peke yake ndiye anayeabudiwa (Mt. 4:10); lakini
papa anataka aabudiwe (2 The. 2:3,4; Ufu. 13:4,7,8,12).Linganisha na Ufu. 13:1,5,6. Ni mamlaka moja ile ile.
UJISHAJUA SASA MNYAMA AU PEMBE NDOGO.NI UPAPA , ITAKUWA RAHIS KUJUA ALAMA YA MNYAMA NI IPI