Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,349
Nimegundua kitu. Kumbe unajua sana ila Imani yako inakutatiza. Kumbe unajua kuwa Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkiristo. Ukijua hii kitu unaweza ukawa unakaribia kuujua ukweli. Sasa unaweza eleza miungu ya baba zake ilikuwa ipi. Tusaidie hilo mkuu.(Nakuomba tena usituwekee link) Itaje tu miungu ya baba zake na Constantine ambaye umemtaja hapo juu na kutoka kwenye hiyo miungu tutajifunza kitu. Tunasubiri tu utaje miungu ya baba zake Constantine ambayo aliahidi kutokuiabudu. Kwa kizungu ''list/mention/name of gods'' Tunasubiri Mkuu wanguUtaratibu wa Sunday services ulianzishwa na mfalme wa Kirumi Constantine baada ya kuwa Mkristo. Hio ni historical fact. Na most likely utaleta ule uzushi wenu kuwa alitimiza unabii wa "kubadilisha majira na sheria", lakini there are two flaws with this reasoning:
1. Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkristo na mstari wa kubadili majira na sheria unaendana na mstari mwingine unaoeleza kuwa ".... hataabudu miungu ya baba zake...".
2. Constantine hakuanzisha au kubadilisha kalenda (ambayo interestingly Wasabato bado wanaitumia).
Nani alieacha kuabudu miungu ya baba zake na pia kuanzisha kalenda? Mtume Muhammad. Baba zake waliabudu miungu 360 akiwemo Allah na ali-attempt kubadilisha kalenda (waislamu hadi leo wana kalenda yao ambayo haiko based na kuzaliwa Yesu Kristo.
Anything else?
Barikiwa mtumishi,endelea kumchambulia Neno ambalo ni ushindi,Sasa hivi unaukana UKATOLIK hadharani? Kwakuwa wanaabudu sanamu ?
Halafu hakuna sehemu nimemtaja EGW,acha kuweweseka
Hii ni biblia nimeichambua ,
Jenga hoja
HUYO MNYAMA ANAYEZUNGUMZWA HAPO NI YULE WA UFUNUO 13
KWANZA INAONESHA HUMJUI MNYAMA NI NANI
Lakini ili ibilisi aweze kufanya Kazi zake sawia ni lazima amtumie mwanadamu,plz tuambie mnyama ni nani??Mnyama ni Ibirisi Shetani.
Kama Wakatoriki wanaabudu sanamu ya Bikira Maria kwa mfano hai.
Basi hiyo sanamu ya Bikira Maria sio Bikira Maria halisi.
Bali ni Shetani Ibirisi anajionesha katika picha ya sanamu ili aabudiwe.
Shetani huwa anatumia masanamu na huwa ndani ya hiyo misanamu.
Unapo iabudu au kuisujudia basi hapo hapo unamsujudia Shetani moja kwa moja.
Mnyama kwa tafsiri ya kikamusi ni kiumbe wa Mungu na hakifiki kwenye kutenda makosa.
Ukiuliza maana ya sanamu nyingi ni kuwa zinatumika kwa kuonesha hadhi ya miungu.
Ndio maana Mungu amekataza hata kitendo cha kuzipa heshima sanamu.
Nadhani unazikumbuka sanamu za mungu Baali.
Wabudha, Wahindi, Warastafariani wana masanamu kwenye nyumba zao za Ibada ambazo zinawakilisha miungu yao halisi.
Hivyo mnyama unayezumzia ni miungu mingine ambayo ipo kwenya ufalme wa giza.
Hapo mnyama ni Shetani Ibirisi ambaye anafanya juu chini ili aabudiwe, na kusujudiwa.
Kuna watu wanamsujudia huyo Ibirisi aliyejigeuza mnyama, na wana chapa kwenye paji zao za uso na mkononi.
Hao ndio wanaoonywa hapo kwenye kitabu cha ufunuo.
Angalia wewe unaweza kuwa mmoja wao.
Nimegundua kitu. Kumbe unajua sana ila Imani yako inakutatiza. Kumbe unajua kuwa Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkiristo. Ukijua hii kitu unaweza ukawa unakaribia kuujua ukweli. Sasa unaweza eleza miungu ya baba zake ilikuwa ipi. Tusaidie hilo mkuu.(Nakuomba tena usituwekee link) Itaje tu miungu ya baba zake na Constantine ambaye umemtaja hapo juu na kutoka kwenye hiyo miungu tutajifunza kitu. Tunasubiri tu utaje miungu ya baba zake Constantine ambayo aliahidi kutokuiabudu. Kwa kizungu ''list/mention/name of gods'' Tunasubiri Mkuu wangu
Hata wewe unaweza kuwa ndiye mnyama anayeongelewa.Lakini ili ibilisi aweze kufanya Kazi zake sawia ni lazima amtumie mwanadamu,plz tuambie mnyama ni nani??
Wewe ni Msabato au Mkristo ?Hebu tusaidie wasabato wameachaje mafundisho ya Yesu. Yaani ni fundisho lipi waliloliacha. nahisi kama huelewi maswali vizuri ila hili ni rahisi utalielewa. Taja mafundisho ya ya Yesu ambayo wasabato wameyaacha
Mimi ni Mkiristo wa dhehebu la SDA -Senenth-Day AdventistWewe ni Msabato au Mkristo ?
Jibu kwanza hili swali.
Yaani wewe unachekesha sana!! Kwa hiyo unaezakusema yeye hakuwa na miungu au mungu. Acha kujidanganya. Yeye aongoze watu wenye kuabudu miungu akiwepo mungu jua na yeye asiabudu.You got it wrong. Constantine hakuwa anaabudu miungu yeyote. Ni wewe unaelazimisha Constantine awe na miungu. Yeye alikuwa mfalme kwenye jamii iliyokuwa inaabudu miungu - and again that is an historical fact. Najua utataka kusema kuwa aliabudu mungu jua etc, lakini hiyo ilikuwa ni miungu ya Wagiriki (Wayuyani) na Costanine hakuwa Mgiriki bali Mrumi.
Hilo dhehebu la SDA lilianzishwa lini na nani ?Mimi ni Mkiristo wa dhehebu la SDA -Senenth-Day Adventist
Yaani wewe unachekesha sana!! Kwa hiyo unaezakusema yeye hakuwa na miungu au mungu. Acha kujidanganya. Yeye aongoze watu wenye kuabudu miungu akiwepo mungu jua na yeye asiabudu.
Kumbuka huyu jamaa alitangaza tu ni Mkiristo lakini hakubatizwa hadi wakati anakaribia kufa ndio akabatizwa
Kwa herufi kubwa kabisa huyo uliyemtaja alikuwa miongoni mwa miungu wake
A Christian who Worshiped the Sun?
''Constantine grew up in the court of the emperor Constantine Chlorus, who was a Neoplatonist and a devotee of the Unconquered Sun. His mother, Empress Helena, was a Christian who traveled through the Middle East searching for key sites connected to Jesus. According to the ancient texts, she was the one who identified the most important places known in the Bible. Young Constantine didn't appear as a follower of his mother's religious interests. He worshiped the Sun, or was devoted to Mithraism''
By Natalia Klimczak
Hide References
References:
Ramsay MacMullen, Christianizing the Roman Empire, 1986
Charles M. Odahl, Constantine and the Christian Empire, 2004.
Michael Grant, Constantine the Great: The Man and His Times,1994.
http://www.biblicalcatholic.com/apologetics/ConstantinePaganChristian.htm
http://sententias.org/2013/05/19/was-constantine-a-christian-or-pagan/
.
Hilo dhehebu la SDA lilianzishwa lini na nani ?
Maana wakati Wakristo wa kwanza wanajitambulisha pale Antiokia SDA haikuwepo.
Ni nani walikuwepoHilo dhehebu la SDA lilianzishwa lini na nani ?
Maana wakati Wakristo wa kwanza wanajitambulisha pale Antiokia SDA haikuwepo.
Mbona wewe hutoi sources zako zinazoonyesha hakuwa mwabudu miunguAngalia reference zako. Source ni Msabato, should I say more? Why don't you seek an alternative source so that you make comparisons? Umeshikiwa akili kwani?
Ukiulizwa jambo moja tu kuwa ibada ya jumapili ilikujaje ku substitute jumamosi utakuwa na majibu .Hebu tusadie hilo kibiblia tafadhali(tunaomba usiweke link)
Mbona wewe hutoi sources zako zinazoonyesha hakuwa mwabudu miungu
Matendo ya Mitume 11 : 26 inasema kuwa Wakristo wa Kwanza walijitambulisha kwa mara ya kwanza, katika Mji wa Antiokia, baada ya Yesu Kristo kupaa mbinguni.Ni nani walikuwepo
Matendo ya Mitume 11 : 26 inasema kuwa Wakristo wa Kwanza walijitambulisha kwa mara ya kwanza, katika Mji wa Antiokia, baada ya Yesu Kristo kupaa mbinguni.
Huko nyuma Ukristo haukuwepo kulikuwa na Uyahudi.
Sasa ninyi mnaojiita wa SDA mmetokea wapi ?
Nani aliye wanzisha na lini ?
Povu la nini?acha wizu wa kiboya wewe.. Pambaneni na hali yenu... Hao mnaoshinda kwenye mitandao kuwachafu, ndio wanabarikiwa kila siku na mwenyezi Mungu, nyie mnabaki makapuku na majungu yenu..! Pambavu kabisa wewe.
Wewe hebu kaa pembeni ,unaulizwa maswaliAkikujibu niambie.
Hivi wewe unadhani kuabudu ibada ya jumapiliWewe ni Msabato au Mkristo ?
Jibu kwanza hili swali.