Huyu Robin Williams alijiuwa kwa kujinyonga na ndie ali act jumanji ya kwanza
Kuna kuunganisha dot hapo?
Hata mimi sijaridhika nalo.
Yaani HAIWEZEKANI mtu,u take risk HIVYO halafu et zawadi ikawa uhai/kunusurika
Kama HIVYO HAKUNA maana ya kucheza huo mchezo.
Mrs Daubtfire [emoji23][emoji23] very funny yaani unatamani kuiangalia kila wakatiHalaf aliigiza movie moja inaitwa mrs doughtfire ahaha nilisikitika kusikia kajinyonga na ile jumanji yake kwangu ndio ilikua best kuliko hii wameact kina kelvin hart
Mrs Daubtfire [emoji23][emoji23] very funny yaani unatamani kuiangalia kila wakati
Jumanji ilikuwa nzuri sana halafu jamaa alikuwa ni talent, kweli kifo kilishtua wengi na mke wake mwisho alikuja kusema kuwa alikufa kwa ugonjwa wa (DLB) Dementia with Lewy Bodies
Unakuwa na hallucinations za ajabu ajabu sana mpaka unajiua
Dunia hii
Daah snake leader umenikumbusha kitambo sana, mjomba wangu alitufuma tunacheza karibia kila siku. Sasa siku moja tunatoka shule Jamaa tukakuta Jamaa amelitia moto bhana, hapo ni kilio cha hatari. Yeye anadai kuwa tutaleta masuala ya ajabu ajabu ndani ya nyumba.Labda inauhusiano na hiyo jumanji juu ya kifo chake kwa kweli
Ile movie me naipenda sana yan aliona watoto atakua mbali nao bora ajifanye baby sitter hahahahhahaa na jumanji alioact yeye ndio best hii movie nakumbuka home nilikuwaga na game linaitwa snakeleader kwa ndani ni draft ukiliweka sawa ndio unacheza hiyo snale leader nililiogopa mana niliona kama naweza cheza jumanji
Yaani kifo chake hata director wa jumanji 2 baada ya miaka yote hiyo bado alikuwa nervous sana alipokuwa anai direct ni kwa ajili ya kifo cha RobinLabda inauhusiano na hiyo jumanji juu ya kifo chake kwa kweli
Ile movie me naipenda sana yan aliona watoto atakua mbali nao bora ajifanye baby sitter hahahahhahaa na jumanji alioact yeye ndio best hii movie nakumbuka home nilikuwaga na game linaitwa snakeleader kwa ndani ni draft ukiliweka sawa ndio unacheza hiyo snale leader nililiogopa mana niliona kama naweza cheza jumanji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani kifo chake hata director wa jumanji 2 baada ya miaka yote hiyo bado alikuwa nervous sana alipokuwa anai direct ni kwa ajili ya kifo cha Robin
[emoji3] kwa hiyo ulikuwa ukicheza ya nyoka unaona ukimezwa tu umeenda kuzimu
Nimecheka sana
Daah snake leader umenikumbusha kitambo sana, mjomba wangu alitufuma tunacheza karibia kila siku. Sasa siku moja tunatoka shule Jamaa tukakuta Jamaa amelitia moto bhana, hapo ni kilio cha hatari. Yeye anadai kuwa tutaleta masuala ya ajabu ajabu ndani ya nyumba.
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Yaani kifo chake hata director wa jumanji 2 baada ya miaka yote hiyo bado alikuwa nervous sana alipokuwa anai direct ni kwa ajili ya kifo cha Robin
[emoji3] kwa hiyo ulikuwa ukicheza ya nyoka unaona ukimezwa tu umeenda kuzimu
Nimecheka sana
Sisi aliyeharibu alikuwa ni aunt ndo aliyeleta hii movie sasa kipindi kile ndio kuna utamaduni wa kukaa wote sebuleni mnacheki movie Kumbe Uncle anatupimia tu...Duh pole langu nilipoteza karibu kete zote isipokua tatu mbili na ile dice ya kuchezea snale leader ndio lilikua game langu tangu bione jumanji nikaogopa
[emoji23][emoji23][emoji23]Haha yan kuzungusha ile dice peke yake na vile unachezesha kete nilikua najiona nacheza jumanji hivihivi
Sjui kwa nn aliamua kujiua jamani
Huwezi amini nimebadili channel ya tv na kukutana na Mrs daubtfireHaha yan kuzungusha ile dice peke yake na vile unachezesha kete nilikua najiona nacheza jumanji hivihivi
Sjui kwa nn aliamua kujiua jamani
Jamaa alikuwa actor mzuri sana[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nimeisoma hii ya jumanji, nimeshangaa sana kama ni kweli ilianzia South AfricaNilikuwa namkubali sana