Mkuu naomba nikueleweshe kuwa:Zawadi ni uhai kivipi wakati unaanza mchezo ukiwa hai?
Sijakuelewa mkuu labda ufafanue kiasi OK,
Umethibitishaje kama ni kweli na sio fiction story tu?Mkuu naomba kukueleza kuwa jumanji ni mfano wa draft ambao umefanywa na kufunga kama kitabu.
Jinsi ya kucheza:
Mhusika akifungua kitabu hicho moja kwa anaingia ndani ya ulimwengu mpya ambao ndani yake kuna mission unapewa yenye lengo kuu moja la kusurvive Tu. Ndani ya ulimwengu huu mhusika atawindwa zaidi ya mnyama. Na wawindaji ni majitu makubwa sana pamoja na wanyama wa kutisha pamoja na mimea.
I hope nimekujibu swali lako mkuu......
Hiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.Mkuu naomba nikueleweshe kuwa:
Ukianza kucheza ni lazma mtu awe hai ila sasa ili zawadi ya kufanikisha kukwepa vikwazo ndani ya mission yako ni kutoka ukiwa hai, tofauti na hivyo ukifeli inakuwa ni kifo moja kwa moja.
Ishu sio kuwa fiction ila ni reasoning tu. Nimepitia sehemu zaidi ya tano. Sehemu moja ndo inadai kuwa ni kutoka katika kitabu tu kwa ajili ya watoto. Ila kuna sehemu nne zinaelekeza kuwa jumanji ni real.Umethibitishaje kama ni kweli na sio fiction story tu?
Funguka zaidi mkuu
Kama umeziangalia hizo movie na ukijaribu kumuelewa mleta mada ni kwamba wengi waliocheza hilo game walicheza bila kulijua au kujua kusudi la hilo game sasa baada ya kuanza kucheza na kujua unapigania uhai wako basi ndio ushindi wenyeweHiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.
Zawadi ni kama malipo baada ya ushindi fulani! Sasa ili uhai huo uitwe zawadi, basi /ilitakiwa uongezwe mara mbili au zaidi.
Je, wewe waweza kuingia vita isiyokuhusu, isiyo na manufaa, isiyo na chochote unachokipigania wala isiyo ya nchi yako kwa kigezo kwamba zawadi ya ushindi ni kutoka ukiwa hai wakati uliingia ukiwa hai tayari?
Jambo hili halipatani na akili, labda ufikiri alafu unieleweshe vizuri mkuu
Ishu sio kuwa fiction ila ni reasoning tu. Nimepitia sehemu zaidi ya tano. Sehemu moja ndo inadai kuwa ni kutoka katika kitabu tu kwa ajili ya watoto. Ila kuna sehemu nne zinaelekeza kuwa jumanji ni real.
Pia hata ukienda kwenye baadhi ya simulizi za wazee konki Wa uchawi Wa Voodoo wamezungumza kuwa hii kitu ipo. Achilia mbali huko, je umewahi kuwasikia watu wanaoitwa "fortune tellers" Hawa wanaongelea pia hii kitu. So ni ishu ya reasoning tu mkuu.
Samahani mkuu umenielewa vibaya. Sijamaanisha zawadi ya namna hiyo. Bali ni kuwa Mtu anapokuwa anakutana na misukosuko humo ndani ili kuweza kutoka basi anaachiwa uhai wake ndo inakuwa kama ndo prize.Hiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.
Zawadi ni kama malipo baada ya ushindi fulani! Sasa ili uhai huo uitwe zawadi, basi /ilitakiwa uongezwe mara mbili au zaidi.
Je, wewe waweza kuingia vita isiyokuhusu, isiyo na manufaa, isiyo na chochote unachokipigania wala isiyo ya nchi yako kwa kigezo kwamba zawadi ya ushindi ni kutoka ukiwa hai wakati uliingia ukiwa hai tayari?
Jambo hili halipatani na akili, labda ufikiri alafu unieleweshe vizuri mkuu
Ndio hivyo mkuu Samahani kwa kuwachanganya hapo.Kama umeziangalia hizo movie na ukijaribu kumuelewa mleta mada ni kwamba wengi waliocheza hilo game walicheza bila kulijua au kujua kusudi la hilo game sasa baada ya kuanza kucheza na kujua unapigania uhai wako basi ndio ushindi wenyewe
Playstore wanagames zao piaVoodoo wanazungumza kuhusu michezo yenye malengo ya black magic tupu. Yaani completely ushetani. Mfano the Roman Death Game na hii Jumanji.
Ndio hivyo mkuu Samahani kwa kuwachanganya hapo.
Appreciate that!!!!
But sio the genuine Jumanji.
"Kutokana na wengi kutokujua mchezo huu nia yake haswa.Wakikujibu unishtue mkuu
Ok, so it's just a myth and not a real game, mi nikajua umeshawahi kucheza au kuona ukichezwa.Hapana!!!
Kwa sababu hizi;
1. Waliona na kifaa kitumikacho kama gate way ya kufungua mchezo ni familia ya kifalme (British Royal family).
2. Mara ya mwisho kuonekana ilikuwa ni katikati ya miaka ya 1930s.
So ni ngumu maana Mimi nimesoma source na nimezaliwa miaka ya 1990s.