HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,316
- 103,577
Serikali ya Urusi imesema kuwa, ndege zisizo na rubani zilitaka kulenga makazi ya Rais wa Urusi, V. V. Putin katika makazi ya pili ya Rais huyo.
Hata hivyo vikosi vya Usalama vilimuamsha baada ya kusikia ving'ora vikilia kabla ya ndege hizo kutunguliwa umbali wa 6km.
Serikali ya Urusi imesema kuwa itasawazisha kwa njia wanayoijua wao.
Hadi leo Ukraine haijakataa au Kukiri kuhusika na mashambulizi hayo.
Ujerumani yasema Ukraine ina haki ya kuishambulia Urusi ndani ya nchi yake kama njia ya kujilinda.
Pia Ujerumani umetoa tamko la kufunga Balozi 4/5 za Urusi nchini Ujerumani.
Siku ya jana USAF imesafirisha mizinga na makombora kwa kutumia ndege 6
C130 Hercules
C130 Super Hercules
C130 globetrotter
C130 globemaster
NB: Warusi wanataka wamuue Putin afu lawama abebeshwe Ukraine