Pentagon yasema Patriot ilidungua ndege za Urusi

Pentagon yasema Patriot ilidungua ndege za Urusi

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,322
Reaction score
103,593
Pentagon yasema kuwa zaidi ya ndege 1 ya Urusi ilidunguliwa na Patriot ndani ya ardhi ya Urusi.

Ukraine alipewa Battery 2 za Patriot, moja iko Kyiv nyingine haijulikani iko wapi

Wachambuzi wa masuala ya ulinzi wamesema kuwa huenda Battery 1 ya Patriot imewekwa karibu na mpaka wa Urusi maana ndege imepigwa umbali wa 400km kutoka ilipo Battery ambayo moja ya launchers iliharibika.

Wengine hudai kuwa PAC 2 ilitumika ambayo ni makombora ya ndege yenye uwezo wa kulenga hadi 140Km.

Hakuna aliyejua nini kiliangusha zile ndege hadi leo.
Mwanzo ilisemekana ni Urusi amepiga ndege zake ila wengine wakaenda mbali na kusema kuwa ni Ukraine ilizipiga kwa manpads.

Ufunuo wa hii leo umeonesha uwezo mkubwa wa Patriot
 
Kujifariji ni raha saana baada ya kipigo cha juzi naona wameamua kutoa taarifa ya ndege zilizoangua wiki moja nyuma anyway hii mbungi bado tutaona mengi mbeleni maanaa uwanja wa majaribio upo
 
Katika hali ya kawaida kombora haliwezi kutoka popote pasipo kuacha heat signature ambayo radar ita peak. Hivyo tuipe muda tutapata ukweli
 
Katika hali ya kawaida kombora haliwezi kutoka popote pasipo kuacha heat signature ambayo radar ita peak. Hivyo tuipe muda tutapata ukweli
Kwani Urusi alisema sababu ya ndege kudondoka?
 
Mnaoshabikia pande katika vita, hao wote lao moja, wanufaikaji ni watengenezaji na wauza silaha.
 
"Himars" umelala umeamka ukamuaji kuja na stori za kufikirika. hata source ya kutu-convice haipo
 
Back
Top Bottom