na ndio dawa nzuri kwao wakileta mazaraubila hivyo hawaelewi hawa....
Ulikua hujui? basi habari ndio hiyo...
pole sana mke mwenza njoo huku
mke mwenza huyo Saint ntamuweza kweli? me nshamzoea mcharuko wangu sobhuza, saiv natafta mwingne!
mke mwenza huyo Saint ntamuweza kweli? me nshamzoea mcharuko wangu sobhuza, saiv natafta mwingne!
charminglady utamuweza tu mpz wala usipate tabu kutafuta mwingine
ndio mana ya mke mwenza ivo njoo huku tumsubirie sobhuza arudi ok
Aa barafu la moyo kwa nini msiniweze?
mke mwenza njoo huku sasa jamani uko wapi tena charminglady
Kama unatafuta mwingine usipate tabu....mke mwenza huyo Saint ntamuweza kweli? me nshamzoea mcharuko wangu sobhuza, saiv natafta mwingne!
saint,nshamzoea wangu mcharuko sobh, sasa we mambo ya kisaint saint ntaweza?
nakushukuru mke mwenza, haya Saint Ivuga leo uje kulala kwangu. CUTE tupange zamu make ckawii kurusha ngumi hapa.