Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Kaka upo?
Hee! Nimeona mtu?
Au nimeona msukule ?
Jamani mnisaidie kama mtunge vile?
Ama kweli hujafa hujaumbika!
Nway enhee Muheshimiwa wewe kulikoni ? Mi sikutaraji kukuona hai tena Jeiefu!
Nini mbaya kiongozi wangu?