kwanza habari za utokako?Hivi kwenye cv yako kule mjengoni, kutongoza una masters, ama phd?
Khaa!!huko nyuma yangu umesahau nini?...pita huku mbele wewe ndo panakuhusu,...alaaa
Ukiota jua utavuna mwezi inategemea aliyekupanda kama alikua anakumwagilia vizuri maji, kukuwekea mbolea kwa wakati n.k
Kamuogeshe, na wewe usisahau kupunguza huo msitu.
Hahahaha......... pole sana
Usisahau na kujiwekea matattoo ya uhakikaHahahaaaaaaa..........
Mie nimetoa, kupo kweupeee.
mchezo gani sasa huo...anadaka mpira!...huyo nae ana mpira mkubwa!!Khaa!!
Si afadhali hao wanagombea mpira? sasa huyu ndo anafanya nini sasa?mchezo gani sasa huo...anadaka mpira!...huyo nae ana mpira mkubwa!!
ah babuuuuuu
huyo kuna kitu anatafuta kimepotelea huko!!!hawa wenzetu hamnazo kweli...Si afadhali hao wanagombea mpira? sasa huyu ndo anafanya nini sasa?
mmmwwaaahhhh! kam this way papito tutete, khaLabeka, umeniita mpenzi?