UKO na nani HAPO?

Nani kakupa mamlaka ya kumbinafsisha my wifey material? Unajua tulikotoka na my cacico wangu? Tumetoka mbali jamani!

attachment.php

Wenyewe ndo wamesema
Mie roho yaniuma ujue.
 
Last edited by a moderator:
nipo home, alone, hubby Asprin leo analala kwa cacico,
na leo nimejawa uvivuuuuu
sitaki kushika wala kufanya lolote....
Nimejilaza kwenye kochi....
Nachange channels tu, hakuna kitu cha kuvutia.....
Glass ya juicy pembeni....
Jf kidoleni...
Acha nitafute manyama uzembe hapa......
 
Last edited by a moderator:
nipo home, alone, hubby Asprin leo analala kwa cacico,
na leo nimejawa uvivuuuuu
sitaki kushika wala kufanya lolote....
Nimejilaza kwenye kochi....
Nachange channels tu, hakuna kitu cha kuvutia.....
Glass ya juicy pembeni....
Jf kidoleni...
Acha nitafute manyama uzembe hapa......
Njoo basi kwenye li apartment langu chole masaki,kuna glass ya crystal wine,special for you.
 
Last edited by a moderator:
nipo home, alone, hubby Asprin leo analala kwa cacico,
na leo nimejawa uvivuuuuu
sitaki kushika wala kufanya lolote....
Nimejilaza kwenye kochi....
Nachange channels tu, hakuna kitu cha kuvutia.....
Glass ya juicy pembeni....
Jf kidoleni...
Acha nitafute manyama uzembe hapa......

Duuuuh BADILI TABIA hauna biya pembeni kweli? Ningekuja kukuvisit
 
Last edited by a moderator:
Hata kuaga jamani? ndo kutupita juu juu tu na presishen. haya bana. nije lini?:israel:

Hee!
Mwanafunzi wangu Kaizer upo?
Mwalimuo nilikuwa hoi c unajua :mimba: c mchezo?
Ila nashukuru nimepata :baby:
Mzima lkn?
Nakuomba usi:peep: we njoo tu umwangalie.
Maana hapa nam :bathbaby:
ila jana ucku nikasema subiri :ranger: Jf manake :gossip: wangu acje niletea longolongo.
Ila :poa:
:focus: mwaya we.
 
Last edited by a moderator:
nipo home, alone, hubby Asprin leo analala kwa cacico,
na leo nimejawa uvivuuuuu
sitaki kushika wala kufanya lolote....
Nimejilaza kwenye kochi....
Nachange channels tu, hakuna kitu cha kuvutia.....
Glass ya juicy pembeni....
Jf kidoleni...
Acha nitafute manyama uzembe hapa......
Leo ni zamu yako my wifey material, mke mwenzio cacico jana nimemmalizia zote za wiki hii..... amechokaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom