UKO na nani HAPO?

Mie niko na my honey cacico tunajikumbushia tulivyokuwa tunaenda shule....... Mapenzi yatu yalianzia zamani jamani... Hapo kina Yummy na BADILI TABIA walikuwa bado hatujawaoa



mwahhhhhhhhh! it started loooong tym ago! kha!
 
lolest! na somo lilikuingia, cku hizi unakagua haswaaaaa, no upekuzi, nipo na Erickb52, tumemaliza ukaguzi, tunacheck movies!
Saaana yan raha sana na huwa naenjoy sana ninapokukagua wewe kuliko BADILI TABIA coz ni msumbufu sana na ana masifa sana na Simu kila saa lol
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaaaa! umetumwa na Young_Master uniwekee fitna niachike nn?? na siachiki ng'o! my babu Asprin mwahhhhh! Erickb52 asikurushe roho wala nn, kha!
Oh honey.... Your Mmmwaaahh accepted with lots of love.

Beyonce-Sunglasses-Snapshot.jpg
 
Oh honey.... Your Mmmwaaahh accepted with lots of love

most welcome papa! always ma luv!
 
Mie niko na my honey cacico tunajikumbushia tulivyokuwa tunaenda shule....... Mapenzi yatu yalianzia zamani jamani... Hapo kina Yummy na BADILI TABIA walikuwa bado hatujawaoa.

attachment.php

Kiongozi inaonesha shemeji kakuzidi urefu, kwa hiyo kama umebaki hom peke yako na kutokee balbu imeungua, hapapachikiki balbu mpya hadi shem arudi ?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom