Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,082
- 13,959
Ulitaka upewe shilingi ngapi?Hiyo ni hela ndogo sana eti kuweka 200m halafu unapewa 1.5m. haingii akilini hata kidogo.
Ulitaka upewe shilingi ngapi?Hiyo ni hela ndogo sana eti kuweka 200m halafu unapewa 1.5m. haingii akilini hata kidogo.
Hii inalipa sijui nchi yetu lakini kwingine inawezekana ukatumia hizo Bond kukopa mpaka 80% kwa benki nyingine kwa miaka mitano ambayo sawa na 160,000,000/- sawa na marejesho ya 2.6 kwa mwezi ukajenga nyumba mbili zenye uwezo wa kukulipa 1,200,000/- zikaweza kulipa riba na kubaki na kiasi kidogo huku ukiwa umeongeza thamani ya fedha yako.Bora kununua Bond za BOT unapata milioni mbili laki saba kila mwezi na pesa yako iko palepale na haikatwi kodi yoyote.
Hata mabenki ya Tanzania yanakubali kuweka Bond kama dhamana ya kuchukulia mkopo.Hii inalipa sijui nchi yetu lakini kwingine inawezekana ukatumia hizo Bond kukopa mpaka 80% kwa benki nyingine kwa miaka mitano ambayo sawa na 160,000,000/- sawa na marejesho ya 2.6 kwa mwezi ukajenga nyumba mbili zenye uwezo wa kukulipa 1,200,000/- zikaweza kulipa riba na kubaki na kiasi kidogo huku ukiwa umeongeza thamani ya fedha yako.
hili ni kama benki zinaweza kukubali kuchukua bond kama security ya mkopo.
ukimaliza nyumba chukua nyumba moja iwe dhamana ya mkopo mwingine wa kutafuta mradi mwingine hata kama ni duka la jumla na maisha yanaenda.
Ila wanaishia 60 to 70% ya BondHata mabenki ya Tanzania yanakubali kuweka Bond kama dhamana ya kuchukulia mkopo.
Mkuu unastahili Nishani ya ukombozi wa kuhustleSasa tupieni michongo ya kuipata iyo Mil 200.
Sasa wengine ambao washua wetu ni afadhali ya sisi tunaoshindia mkate mjini, tufanyeje?Nyingine ni urithi baada ya msure ku RIP
Labda kama sheria zimebadilika,nachojua mimi unachokiweka hakihusiani na benki ikipata hasaraThe higher the rate the higher the risk!
Labda kama sheria zimebadilika,nachojua mimi unachokiweka hakihusiani na benki ikipata hasara
Kumbe nikiwa na 200M naweza kula bata bila kufanya kazi mpaka nakufa ngoja nikaitafute 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
JF bana1.5m kwa matumizi ya mwezi mzima labda uwe unaishi kisela bila familia na usiwe mtu wa bata sana.
JF bana
Hii ya bonds ni nzuri Ila inflationPia unaweza kununua government bonds kwa kuanzia miaka 5-20 ukiangalia mahitaji yako ambako utapata mpaka 15%
Details zaidi zinapatikana wapi?Wanalipa mara mbili kila mwaka na ukitaka kuuza unauza wakati wowote.
Punguza dharauSure Mkuu 1.5m kwa mwezi labda uwe unaishi kisela,waulize wanaolipwa labda mili 3 au nne kwa mwezi....Kama kipato chako ni laki 3 au nne kwa mwezi utaona 1.5m ni nyingi sana.
-Kodi ya nyumba
-Ada ya watoto efemu akademia
-Chakula
-Utilities bills
-Transport/Usafiri
-Support kwa extended family.
-Vocha/Bundles
Kama kuishi kwa kujibana basi hata laki kwa mwezi inatosha kwa matumizi maana utakuwa unakunywa uji na usiku ugali na tembele chukuchuku,watoto wanasoma kayumba.
Haha mkuu usishangae watu tunatofautiana matumizi. Akina sisi laki 5 zinatosha kumaliza mwezi kuna watu siku 5 tu haitoboi na hii ni matumizi tu ya kawaida nyumbani sio bata wala nini.JF bana
Sure Mkuu 1.5m kwa mwezi labda uwe unaishi kisela,waulize wanaolipwa labda mili 3 au nne kwa mwezi....Kama kipato chako ni laki 3 au nne kwa mwezi utaona 1.5m ni nyingi sana.
-Kodi ya nyumba
-Ada ya watoto efemu akademia
-Chakula
-Utilities bills
-Transport/Usafiri
-Support kwa extended family.
-Vocha/Bundles
Kama kuishi kwa kujibana basi hata laki kwa mwezi inatosha kwa matumizi maana utakuwa unakunywa uji na usiku ugali na tembele chukuchuku,watoto wanasoma kayumba.
Punguza dharau
Unajua hata 10M ni ndogo kwa mwezi ukizungumzia mahitaji ya binadamu suala ujue kwanini nasema 1.5M mimi natathmini kulingana na Economic Scale ya vipato vya wengu Tz 90% ya watanzania hawaingizi 600K kwa mwezi...sasa hapa unasemaje 1.5M ni nyingi tena sanaaaaaaaa na ni DREAM SALARY kwa wengi.Sure Mkuu 1.5m kwa mwezi labda uwe unaishi kisela,waulize wanaolipwa labda mili 3 au nne kwa mwezi....Kama kipato chako ni laki 3 au nne kwa mwezi utaona 1.5m ni nyingi sana.
-Kodi ya nyumba
-Ada ya watoto efemu akademia
-Chakula
-Utilities bills
-Transport/Usafiri
-Support kwa extended family.
-Vocha/Bundles
Kama kuishi kwa kujibana basi hata laki kwa mwezi inatosha kwa matumizi maana utakuwa unakunywa uji na usiku ugali na tembele chukuchuku,watoto wanasoma kayumba.
Unajua hata 10M ni ndogo kwa mwezi ukizungumzia mahitaji ya binadamu suala ujue kwanini nasema 1.5M mimi natathmini kulingana na Economic Scale ya vipato vya wengu Tz 90% ya watanzania hawaingizi 600K kwa mwezi...sasa hapa unasemaje 1.5M ni nyingi tena sanaaaaaaaa na ni DREAM SALARY kwa wengi.
Hiyo list ya mahitaji ulioyo list hapo ni ndogo sana bimadamu ana mahitaji (Needs and Want) hata 20M ndogo kwa mwezi ila elewa somo la LOGIC.
1.5M huo mshahara wa ndoto kwangu.
Ndivyo ilivyyoHaha mkuu usishangae watu tunatofautiana matumizi. Akina sisi laki 5 zinatosha kumaliza mwezi kuna watu siku 5 tu haitoboi na hii ni matumizi tu ya kawaida nyumbani sio bata wala nini.