johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,146
Hahahaaaa........!Objectively kwa mara ya kwanza leo ni kama umeandika point!👏
Tunazungumzia ufuasi bwashee!Uchaguzi si umekwisha mlamu!
Yule lafa aliyelazimisha kugombea urais chadema alipogalagazwa akajaribu kuitisha maandamano wafuasi wake wakaingia mitini, naye kwa kuwakomoa akasepa kwenda ubeberuni kwa shoga yake amsitadamu.tundu lissu ndyo nani
Hakika umenena ukweli utuumeTundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji.
Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa Jf na id fake.
Nimefuatilia namna wafuasi wa Trump wa Marekani na wale wa Bobi Wine wa Uganda walivyojitokeza hadharani kutetea madai ya wagombea wao nikagundua Tanzania hakuna wapinzani bali Chumia Tumbo watupu mabingwa wa kuongea.
Kiukweli Nyerere hakuwa sahihi sana kukubaliana na wale 20% waliotaka mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa sababu Tanzania bado sana kufikia level hizo.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona una nistua, kwani Amsterdam ni beberu lake Lissu? Kwa hiyo Amsterdam ni shemeji ya watanzania.?Yule lafa aliyelazimisha kugombea urais chadema alipogalagazwa akajaribu kuitisha maandamano wafuasi wake wakaingia mitini, naye kwa kuwakomoa akasepa kwenda ubeberuni kwa shoga yake amsitadamu.
Lisu ni muongo muongo sana ndio maana akina Halima Mdee wamemkimbia!Hoja ya Lissu kuwa kuna mtu anapumulia ventilator mbona munaipotezea
Utajua hujui soon!Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji.