johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,571
Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji.
Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa JF na ID fake.
Nimefuatilia namna wafuasi wa Trump wa Marekani na wale wa Bobi Wine wa Uganda walivyojitokeza hadharani kutetea madai ya wagombea wao nikagundua Tanzania hakuna wapinzani bali Chumia Tumbo watupu mabingwa wa kuongea.
Kiukweli Nyerere hakuwa sahihi sana kukubaliana na wale 20% waliotaka mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa sababu Tanzania bado sana kufikia level hizo.
Maendeleo hayana vyama!