kupata mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  2. General Nguli

    Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

    Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha. Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote. Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri. Maisha kusonga tukiwa...
  3. 666 chata

    Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  4. sky soldier

    Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  5. Equation x

    Jamaa anataka atumie nguvu za giza kupata mke

    Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja. Huyo rafiki yangu alimfahamu huyo mrembo, kutokana na tajiri wa huyo binti kumtuma huyu kijana mara kwa mara kupeleka mzigo hapo...
  6. chizcom

    Wanaume wanzangu, pesa ndio itakufanya kupata mke yeyote unayemtaka na hata kuwa nao kumi

    Kuna muda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume. Hata ukiwa mzee, mlemavu, sura mbaya ila pesa kama ipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata. Mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
Back
Top Bottom