Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Kwani Avatar yake inamdiscribe mtu wa aina gani. Hilo bwabwa ndugu zanguni.
 
gay-test-281.jpg
 
Uko sahihi bwana, watu hawajafanya research wanaku attack tu. Hichi kitu mimi nakielewa siku nyingi.......

Unajua si huduma tu ahata mi niliwahi sikia siku nyingi hata attention yawalimu kwa wanafunzi ( it is so unfortunate), jamani researchers mtujuze. Hata hivyoresearch zinaweza fanywa ikaonekana labda kwa sasa attention iko kwa watoto wawazazi wenye uwezo au factor nyingine. Bahati mbaya kwa nchi zetu kuna Tafitiza aina fulani zinazipewa kipaumbele zaidi kutokana na ukwasi. Watafiti jamanitujuzeni.

 
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana.

Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lakini sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana.


Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua?

Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu.

OVYO !!!! Stupidity at its best.
 
mi nlijua KE,mwanaume unajisifia uzuri??
ili iweje...
 
Ndio usawa huo mliokuwa mnaulilia wanawake, sasa wanaume nao wanajisifu kwa urembo.

Lord have mercy
 
mleta mada umeikoaea sana nafsi na jinsia yako ya kiume kwa kujiita "mzuri".mwanaume haitwi mzuri,mwanaume huitwa 'mtanashati'.uzuri imekaa kidem sana.hata ktk kizungu mwanaume haitwi beautiful/ gorgeous,huitwa handsome.
 
Uzuri wa JF haiendekezi mabishoo.Leta ubishoo upewe makavu hadi ukimbie.
 
Back
Top Bottom