Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Alaaa kumbe....wacha sie wenye sura ngumu tukomae
 
Teh teh eti uzuri kiruu mwanaume mzima wasifia uzuri haki yanani nina mashaka na wewe duh!!
Mwanaume hasifiwi uzuri wewe mwanaume pesa na ulijali sasa wewe leta uzuri hapa then utaona matokeo yake.
Embu tengua kauli kwanza!!
 
hivi huyu alieandika hii hata jando alienda huyu?aisee hii ni hasara sana kumbe ndo maana wazungu wanakomaa kuleta. sheria ya ushoga ili mabwabwa kama haya yaliwe live

Ha ha ha ha taratiiibu ndugu.
 
hivi huyu alieandika hii hata jando alienda huyu?aisee hii ni hasara sana kumbe ndo maana wazungu wanakomaa kuleta. sheria ya ushoga ili ma bwabwa kama haya yaliwe live

Ha ha ha ha taratiiibu ndugu.
 
Hii ya mwanaume kujisifia uzuri ni mpya kwangu....Eeh Mola kinisuru kizazi hiki.
 
Wakenya wanatakiwa kufahamu kuwa Bush ndio raisi wa dunia. Anazungumza lolote analopenda kwa raha zake. Ni sawa na viongozi wa mkoa wa tabora kumlaumu kikwete kwanini anaongelea maendeleo ya mkoa wa tabora akiwa na viongozi wa mkoa wa arusha. Kama hilo limewakera, wakenya wanatakiwa kuipiku marekani ili nao wawe na nguvu za kuongelea siasa za afghanistan wanapokuwa katika na majadiliano na viongozi wa ufaransa.

Kijakazi wa kiume kumbe???
 
WENYE LUGHA YAO WANA SEMA HIVIIII.......'If it looks like a duck, quacks like a duck, it's a duck!'.......Sasa hapa bila kupindisha kauli wewe ni.......
 
Kumbe we mzuri, du! njoo kwangu nikuweke ndani kabisa. ntakupa kila kitu, Lakini uwe tayari wajanja wawe wamesafisha njia tayari. Lakini kama bado taiti utanisumbua kuifungua kwa mara ya kwanza.

kwa hii comment naamin kabisa Tz ya leo ni tofauti sana na ile ya jana
 
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana.

Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lakini sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana.


Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua?

Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu.

Uko sahihi bwana, watu hawajafanya research wanaku attack tu. Hichi kitu mimi nakielewa siku nyingi.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom