Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,544
Reaction score
18,090
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana.

Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lakini sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana.

Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua?

Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu.
 
hivi huyu alieandika hii hata jando alienda huyu?aisee hii ni hasara sana kumbe ndo maana wazungu wanakomaa kuleta sheria ya ushoga ili mabwabwa kama haya yaliwe live
 
Dah! Nimechoka... Yaani mwanaume unajiita mzuri kweli?! Au labda nimesoma na kuelewa vibaya...
 
sitaki kuamini km aliyeandika hapa ni me
hatari kweli hii
sishangai siku moja kuna uzi wa mashoga uliutetea
 
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana!
Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama Muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lkn sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba Muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana!

Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua? Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu!

Weka picha!
 
Acha kujidharau kijana unapofika sehemu unajihisi upati upendeleo sio kweli ila unaona hivyo maana wewe mwenyewe hujikubali
Sasa umekuja hapa kutafuta majibu kwa njia ya uwani unajifanya ni wewe unakubalika,jikubali mwenyewe kabla mtu yeyote hajakukubali!!!
 
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana!
Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama Muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lkn sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba Muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana!

Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua? Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu!

Hivi weni mwanaume, au mtoto wa kiume!?
 
teh teh eh... Kwa kweli ukiwa na muonekano mzuri kila kitu rahisi, Mimi hadi wenye magari hunipisha kwenye foleni, Traffic ndio usiseme wakinona wanasimamisa Vyombo vyote vya moto nipite kwanza mimi ndio utaratibu mwimngine uendelee.
 
lianzishwe jukwaa la mashoga humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom