Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

Mtoto wa kiume anajiita mzuri dooh angekuwa Kwetu Mombasa washamuweka ndani kitambo..
 
kama ww ni demu basi utaendelea kumegwa maisha yako yote na kama ww ni mwanaume basi wewe ni SHOGA..
 
Duniani kuna mambo!Hizi "fake ids" zinasaidia sana humu JF,la sivyo mambo mengi yangeleta "pang'ang'a&quo
 
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana.

Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu anataka ukae nae mpaka kuruhusiwa kuingia Benki hata kama muda wa kufunga umeshafika na wengine wamezuiwa kuingia Benki, hii kitu wakati niko mdogo nilikuwa sijaishtukia lakini sasa hivi nimekuwa mkubwa naanza kuangalia nyuma ndio naona kwamba muonekano wangu umenisaidia vitu vingi sana.


Mara nyingi sana huwa nikienda hata kulipia kitu kwa mfano TRA huwa naitwa tu na kupewa upendeleo bila ya hata ya kujua kwa nini, sasa najiuliza, huyu Demu ananijua?

Au labda tulisoma wote kumbe ni muonekano wangu tu.

Kumbe we mzuri, du! njoo kwangu nikuweke ndani kabisa. ntakupa kila kitu, Lakini uwe tayari wajanja wawe wamesafisha njia tayari. Lakini kama bado taiti utanisumbua kuifungua kwa mara ya kwanza.
 
Kumbe we mzuri, du! njoo kwangu nikuweke ndani kabisa. ntakupa kila kitu, Lakini uwe tayari wajanja wawe wamesafisha njia tayari. Lakini kama bado taiti utanisumbua kuifungua kwa mara ya kwanza.

Hahaha.aje.na ky
 
Kweli nikukubali kuwa wewe mzuri hadi ukitembea njiani Pesa zinadondoka mbele yako kutoka angani hivyo unaokota na kuendelea na msafari yako. kweli uzuri Bongo unakulipa mwanangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom