Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaaaa sie wengine hata salamu tu hatupewi achilia mbali kupishwa kwenye daladala
Shosti mtu akikuona tu anakunja sura. Sembuse hiyo salamu
Hahaaaa sie wengine hata salamu tu hatupewi achilia mbali kupishwa kwenye daladala
Alaaa kumbe....wacha sie wenye sura ngumu tukomae
kwa hii comment naamin kabisa Tz ya leo ni tofauti sana na ile ya jana
Duh!! ni sheedaaah,, Dume zima linajisifia kuachiwa kuingia benki na walinzi wa kiume kwa uzuri wa sura,, Kiongozi kuna mashaka hapa!!
Haha et software kula like
By...Free ideas..
Huyu jamaa aangalie wasije pia wakamfanya kama huyo wa kwenye avator yako!
hahahahaahaaaaaa lol.... weka picha uwekewe golden member... kwenye prof yako...
Mh. Kwa kweli kuna new gender. Male, Female na Half Male. Hawa wa mwisho wana maungo ya kiume software ya kike.
Teh teh eti uzuri kiruu mwanaume mzima wasifia uzuri haki yanani nina mashaka na wewe duh!!
Mwanaume hasifiwi uzuri wewe mwanaume pesa na ulijali sasa wewe leta uzuri hapa then utaona matokeo yake.
Embu tengua kauli kwanza!!
mwanaume hajisifii uzuri babu we