Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Niko hapa kijiji cha Kala pembeni mwa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa tunasoma huu uzi wako na Mzee Chinyama. Alivyosoma heading tu akasikitika sana. Kasema kama hutajali mtumie jina lako kamili pamoja na majina ya wazazi wako wote wawili ili akusaidie kutengua kauli yako.
 
The world is mental....hata huo uchawi ni kucheza tu na manipulation za frequency za kiroho, sasa yakimkuta asielewa nini kinaendelea ndo atasema uchawi,,,ni kama dini tu pia
Haya mambo yote Mungu ,shetani na uchawi, yapo ndani ya uwezo wa mtu tu alie amua kuyaamini .sio kwa kila mtu ,narudia tena sio kwa kila mtu , labda tu kama mmeamua kuaminishana kama kikundi ,kama Africa tulivyofanya.
 
Niko hapa kijiji cha Kala pembeni mwa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa tunasoma huu uzi wako na Mzee Chinyama. Alivyosoma heading tu akasikitika sana. Kasema kama hutajali mtumie jina lako kamili pamoja na majina ya wazazi wako wote wawili ili akusaidie kutengua kauli yako.

Hivi Mchawi wa kweli kweli anashindwaje kujua jina langu?, Huo nao ni Ushahidi kuwa Uchawi haupo,na hao wanaojiita Wachawi hawana lolote

hana nguvu za kujua jina langu ila anaweza kunigeuza panya
 
Na ndo maana kuna zile dini zinasema zinaamini Mungu mmoja ila sasa ukicheki mambo yao ni kama kila mtu na Mungu wake,,,,,haya mambo ni experience binafsi ya mtu hayapo fixed kwamba kwakua mimi nimeona hivi au nina uwezo huu basi kwa kila mmoja itakua ni hivyo tu
 
yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Usichokijua, Watu wengi na hata serikali, inakataa uchawi, maana ni ngumu kuudhibitosha, ingawa unaweza wepo.
Ila ushirikina upo na hata serikali inajua hivyo, maana vitendo vyake, vimedhihili.
 
Mkuu soma biblia toka mwanzo hadi ufunuo kwa makin
then ukimaliza urudie kama mara mbili then uje usome huu uzi uloandika

Uchawi umetajwa sana huko na mambo ambayo walifanya.
Mapepo ya utambuzi n.K
 
Nipeleke kwa uchawi, nakupa saa moja ukamilisje zoezi hili.
Mkuu,
Usipelekwe huku kwetu afrika mashariki Kuna vizika wazima yaani unapigwa vata unakufa unazikwa alafu unaenda kulimishwa mashambani """MSUKULE""

Huku Hadi watu wamewai kuroga tamasha la sinema kijijini kwetu 😊😊😊 😂😅 yaan jenereta linagoma kuwaka watu wakiondoka linawaka wakirudi linagoma kuwaka..

Ndugu kiranga hujawai kuona kimbunga na mauzauza na mang'amu ng'amu ndotoni au usingizi Ni
😅😂😅😊😊
 
Niko hapa kijiji cha Kala pembeni mwa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa tunasoma huu uzi wako na Mzee Chinyama. Alivyosoma heading tu akasikitika sana. Kasema kama hutajali mtumie jina lako kamili pamoja na majina ya wazazi wako wote wawili ili akusaidie kutengua kauli yako.
Mzee amesema nini zaidi juu ya hili?
 
Mtu alitaka kukupigia simu anaota tu? Inatakiwa awe na namba yako? Bila namba ya mtu humpigii simu
Hivi Mchawi wa kweli kweli anashindwaje kujua jina langu?, Huo nao ni Ushahidi kuwa Uchawi haupo,na hao wanaojiita Wachawi hawana lolote

hana nguvu za kujua jina langu ila anaweza kunigeuza panya
 
Wewe ni mpumbavu na mjinga. Ikiwa mpaka vitabu vya dini vinataja kuwa uchawi upo tangu miaka mingi iliyopita iweje wewe useme uchawi haupo? Labda kama wewe huamini dini yoyote.
Mkuu unajua kama yeye, ni Muumini wa Dini yeyote.
 
Na ndo maana kuna zile dini zinasema zinaamini Mungu mmoja ila sasa ukicheki mambo yao ni kama kila mtu na Mungu wake,,,,,haya mambo ni experience binafsi ya mtu hayapo fixed kwamba kwakua mimi nimeona hivi au nina uwezo huu basi kwa kila mmoja itakua ni hivyo tu
Ata watu wakiwa wanasali kila mtu huwa ana tengeneza illusion ya Mungu wake kichwani kuna wengine wanatengeneza mpaka illusion ya bwana Brayan dicon kichwani.
 
Naomba nipe namba yako nikupeleke kwenye nyumba moja ipo mbagala. Utalala hapo siku moja tu alafu utakuja kutoa humu ushuhuda utakacho kikuta hapo. Kodi ya nyumba tutakulipia wenyewe.
Akili ukishaijengea kitu Dylan huwa inaamin hivyo. Kuna nyumba niliwahi panga. Na ikiluwa na miaka kama 8 Haina mpangaji kisa Kila mpangaji alikuwa anaingia Ina mauza uza Sana. Lakin Mimi skuwahi kuwambiea Hilo tatizo wanalodai. Nilikaa kwenye hiyo nyumba Kwa mda wa miaka miwili bila kuyaona hayo mauza uza. Nimekuja kupewa taarifa hiyo mwaka wa pili mwishon na nikawambia Mimi siamin uchawi upo.

Nimekaa pale bila shida yoyote na kama ni kipato kiliongezeka mara 2 yake.

Tangu nilipohama Tena wameingia wapangaji kama wanna wanaacha Kodi zao. Kwa mauza uza wanayodai kukuktana nayo. Ila kwangu ni tofauti.

Hivyo basi ukiijengea akili yako Kuna uchawi na ushirikina itakuwa kweli. Lakini akili yako uspoijengea Kuna uchawi na ushirikina haiwezi kufanya kazi. Na uchawi hautamuwepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom