Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Hatukutishii mie mmoja wapo wa watu wabishi sana sijui sabbu ya ufupi 🤣lakini nilichogundua kukubali ukweli ni tiba Yani unapona harak sana so siwez kukurushia mawe kaka robati😀😀😀

Ukiona unakubali ukweli basi jua unaakili sio tuu za darasani Bali hata za Maisha. Hiyo kisayansi imethibitika.

Ubishi lazima uwepo ikiwa anayekuelewesha unaona hafiki Akili yako ilipo
 
Hii thread ipo applicable tu kwa mabinti wadogo wasiojitambua, huwezi kuniambia utamdanganya mwanamke mzima wa miaka 35+ afu aamini uongo wako.
Inawezekana Tu mkuu inategemea umemdanganya vipi
Falsafa Yao uamini katika taswira mficho isiyoonekana lakini inayomshawishi kuona hatma nzuri mbeleni
Ukiwa unaendeleza kutimiza unayoyakusudia
 
Mfano, kama Mwanamke hakupendi na akaambiwa atoe maelezo kukuhusu basi atatoa Maoni yanayolenga kukukera, kukuumiza, na kukupa uchungu[emoji4][emoji3578]
 
Wengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.

Kwa mfano

Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti.

Katika hao anaweza akamuona mwanaume ambaye anajua kabisa mwanaume huyu ni husband material.

Mwanaume ambaye ana ambitions za kimaisha (husler) anayeweza kujenga naye maisha.

Lakini mwanamke akaamua kuachana naye kwasababu ya vitu vidogo tu kama muonekano (marafiki zake watamuonaje) au ni mtu fulani hivi ambaye hajichanganyi kwenye viwanja vya starehe ambapo huko anaweza kuvimbiana na marafiki zake (showoffs)

Halafu akaenda kujenga mahusiano na mwanaume mwingine ambaye anafahamu kabisa kuwa huyu si muoaji, ila kwakua ni cheki bob anapiga pamba kali na kuvaa ma chain ya silver anaona sasa huyu ndio atanifaa.
Fact [emoji1]
 
Anajijua sio mzuri ila ukimsifia tu anavimba bichwa

Au umwambie mi mganga njaa ila nakupenda utasikia asante au we mi sio typ yako tena unikome.

Ila azima gari afu umuibukie au umwambie mi ni mkubwa flani kitengo flani huyo keshajaa.

Ukiwa mkweli kwa hawa viumbe humpati hata 1.

KIASILI MWANAMKE AMEUMBWA KWA AJILI YA KUTWENDWA mengine yote tunalazimisha afit kwenye hamna
Ha ha ha.....watu mnashusha vyuma humu[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake hawapendi kubishiwa kile wanachokisema, wanaona kama unawadharau na kuwaona Hawana uwezo wa kufikiri. Ukitaka Mkeo akushinde au ugombane na Mama yako mbishie anachokueleza hata Kwa facts. Mtakuwa na mahusiano yasiyo ridhisha.

Mwanamke akisema Jambo mkubalie, kisha ongezea ushauri wako Kwa juu kama nyongeza, na sio umwambie hapana sio hivyo,[emoji23][emoji23] mwambie ananawazo mazuri Sana, alafu sema Kwa kuongezea blah blah blah! Alafu mkumbatie umwambie yeye kweli ni jike
Hiv asili ya mwanaume kwenye huu ulimwengu ni ipi hasa coz kila kitu kikiwa ni ndiyo kwa mwanamke unazan ndo hamtogombana? Kwanin ucwe real tu
 
Hiv asili ya mwanaume kwenye huu ulimwengu ni ipi hasa coz kila kitu kikiwa ni ndiyo kwa mwanamke unazan ndo hamtogombana? Kwanin ucwe real tu

Mwanamke ukimuambia Ndio haimaanishi ni ndio kwake, Ila unajaribu kuonyesha inahali. Na pia ukimuambia Hapana kwake haimaanishi hapana bali yote yawe kujali na kumpenda.
Mwanamke hapendi wanaume wa ndio Mzee (Yes Man).
 
Mwanamke ukimuambia Ndio haimaanishi ni ndio kwake, Ila unajaribu kuonyesha inahali. Na pia ukimuambia Hapana kwake haimaanishi hapana bali yote yawe kujali na kumpenda.
Mwanamke hapendi wanaume wa ndio Mzee (Yes Man).
Kwa hapo simply wew ndio unajidanganya na sio yeye coz unafik huwa na mwisho na ukifika ndio watu wanagombana na kuachana pia
 
Kwa hapo simply wew ndio unajidanganya na sio yeye coz unafik huwa na mwisho na ukifika ndio watu wanagombana na kuachana pia

Mtu anawezaje kujidanganya Mkuu?
Kimantiki MTU hawezi kujidanganya, hata Kiroho na kiimani.

Kwa uelewa wako MTU akiambiwa Aishi na Mwanamke Kwa Akili unafikiri nini kinazungumziwa
 
Mimi kwangu ni ngumu kumwambia mtu uongo,,hata kama nikitaka kuoa ntamwambia uhalisia wa maisha yangu,, kama akilidhia kuwa na mimi sawa!!
Maana nikisema ukweli huwa nakuwa huru saaana ,,sipendi kuishi maisha ya kufeki
 
Back
Top Bottom