Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,777
- 92,255
- Thread starter
- #161
Haiwezekani ujiunge JF 2018 alafu uzidi 35 yrs.
I bet ni under 30
Hapana Mkuu. Labda Nina ID za zamani tangu 2011
Haiwezekani ujiunge JF 2018 alafu uzidi 35 yrs.
I bet ni under 30
Yaani wewe huna tofauti na wale waumini wanao nyofoaga vimistari kwenye vifungu vya biblia kwa manufaa yao binafsi 🤔🤔🤔🤔.Bado nipo Mkuu.
Yaani wewe huna tofauti na wale waumini wanao nyofoaga vimistari kwenye vifungu vya biblia kwa manufaa yao binafsi 🤔🤔🤔🤔.
Bila shaka,nipo hapa kukujibuSawasawa. Unataka kuleta hoja ipi?
Nachukulia mambo Kwa mapana yake, siongozwi na nadharia au sheria moja.
Nikuulize kitu?
Okay, huwa nafatilia sana mabandiko yako nayasoma nikiwa nimeketi kwa utulivu mzuri.Hapana Mkuu. Labda Nina ID za zamani tangu 2011
Dogo ana kipaji sana aisee,unaweza kudhani ni wale wazee wa Zanzibar waanzilishi wa Kiswahili ambao wengine wameajiriwa Bakita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi una umri gani kijana wangu? Mbona una ujuzi wa mambo mazito mazito.
Bila shaka,nipo hapa kukujibu
Okay, huwa nafatilia sana mabandiko yako nayasoma nikiwa nimeketi kwa utulivu mzuri.
Thumbs up [emoji110]️
Alisema yeye hapendi kabisa kuambiwa kauli za hovyo na watu wake wa karibu na maongezi yetu yaliishia pale palealikufanyaje
Alisema yeye hapendi kabisa kuambiwa kauli za hovyo na watu wake wa karibu na maongezi yetu yaliishia pale pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini kilitokea?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] Hakika kijana ana kipaji kikubwa sana. I wish siku moja nikutane nae tunadilishane maonoDogo ana kipaji sana aisee,unaweza kudhani ni wale wazee wa Zanzibar waanzilishi wa Kiswahili ambao wengine wameajiriwa Bakita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes.Umeolewa?
Yes.
Nini mbaya kwani?Vizuri. Acha nishushe pumzi.
🤣🤣Wewe huyooo?!Ndalama mammy ndalama
Jamaa achana naye inawezekana sio man uyo😀😀au hawajui vizuri mademu,siku asije akatuletea mada ya tukio lolote la demuHujui wewe. Hivi kuna watu wanaowajadili wenzao kwenye vikundi vyao, kama wanawake wanavyowajadili wanaume? Fanya tena research yako.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Hakika hii ni nondo[emoji1666]Anaandika, Robert Heriel
Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli.
Kwa sasa Dar es salaam
Akili za wanawake 100 ni sawa na akili ya mwanaume mmoja aliyelewa chakari gongo au chimpumu.... mwanamke ukishamsifia basi kazi imeisha. Ukitaka mwanamke akuchukie maishani, mwambie hajapendeza au kama kajipulizia perfume muulize hivi "DADA NI HARUFU YAKO AU UMEJAMBA?"
Hatukutishii mie mmoja wapo wa watu wabishi sana sijui sabbu ya ufupi 🤣lakini nilichogundua kukubali ukweli ni tiba Yani unapona harak sana so siwez kukurushia mawe kaka robati😀😀😀Msije mkaanza kunirushia mawe humu🏃🏃