dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,476
- 2,087
Tulivyo, -Ndivyo tulivyo.humpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
Halafu na nyie sijui kwanini ni warahisi kuhadaika?
Wanawake bwana.
Tulivyo, -Ndivyo tulivyo.humpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
Swali la kijinga hili,mwanaume rujali haulizi swali kama hiliUtampaje mimba wakati humpendi?
Asante miss...hii ni kutoka kwa mr. PorscheTunatumia fursa vizur,maumiv baadae
*rijaliSwali la kijinga hili,mwanaume rujali haulizi swali kama hili
Wewe kwa akili yako unadhani wanaume tumeumbwa kwa material sawa na nyie..!Mm siwzi lala na mwanaume nisiempenda sasa wewe uweje na demu humpendi? Ujinga.
we Men need sex
sex and love are two different tingz to us
Vivulana wapi hadi wazee wa miaka 40 huko likibumburuka wanatoka nduki siku akifariki ndo mnaskia mna mdogo wenu sehem flanihawa sio wanaume ndugu yangu..Ni wavlana wote wanaounga mkono hii hoja napia bado hawajapevuka vya kutosha kiakili ndo mana mengine wanayoyafanya ni kwa kuendeshwa na mihemko tu sio ubongo.Na mateso pia yanatokea upande wa jinsia ya pili!
Mwanaume ni yule aliepevuka kiakili na sio tu kimwli.Mwanaume anajua lazma atumie kinga ikiwa hana mapenz na mwanamke anaekutana nae kimwili coz lazima atawaza nikicheza kavu na huyu hlf akabeba mimba c ntawajibika kulea hlf sina malengo nae?? hapo atakihurumia kiumbe kitakachotungwa na ili asije kuleta mtoto wa mtaani atatumia kinga! na pia mwanaume anaejelewa hawez kuchezea mda wa mwanamke anamzuga ooh nakupenda eti hadi miaka mitatu wakati hampend wala hana future nae hlf siku akabeba mimba anakimbia!! huyu ni mvulana sio mwanaume..
Na majority ya hawa wasela unapishana nao njiani wamevaa modo,milegezo,mbwembwe kibao na vyuoni ndo wanaongoza kumimbishana na kukimbiana! mtest hata IQ yake juu ya mahusiano utaona alivyo mtupu kichwani.
Asante kwa kulitambua hilo,yaani unaweza ukakosa amani ya moyoUuhii yan hakuna kitu kibaya kama hicho. Mimi msichana naelewa hicho kitu; yan hata msichana akipata mimba kwa mwanaume asiyempenda ni tabu aiseee.
wala hilo sio tatizo ....Wanajamvi habari?
Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?
Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.
Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.
Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani ardhi ipasuke utumbukie ndani, na unamchukia milele japo a analeta mtoto.
Cheka sana mamaHahahahahahahaha post zenu zinachekesha sana.
Teh! Pole sana.Mi imenitokea demu katimuliwa.kwao anaishi kwa rafiki na mimi nimetumbuliwa jipu basi niko taabani ahera siendi wala.duniani siondoki
DADA tuelewe tu wanaume, mwanaume anafanya lile tendo kwa kutamani na wala si kwa kupenda au kwa hisia kama ninyi, ni kawaida kabisa kwa mwanaume kulala na mwanamke asiye mpenda na wala hana hisia naye kabisa.humpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?