Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Mnalala nao hamuwapendi na bado hamtumii condom mkitajiwa mimba mnakimbia. Kila unachokifanya kina matokeo yake baadae. Nashangaa wanaume wakati wa tendo mnafurahia yakija matokeo mnaruka futi 100. Halafu sio kwamba tunapenda kubeba mimba zenu ila inatokea imeshaingia na ukiwaza siku hizi matatizo ya uzazi yalivyo mengi unaona bora uzae huwezi jua huyo ndo mtoto pekee aliyebaki kwenye tumbo lako
 
kuna midemu kuipiga kavu ni kosa la jinai..ata ka humpendi lazma umtendee hakiii..kavuuuu tuu
 
Sometimes unataman umchukie na mtoto ila unajirudi na kusema mtoto hana kosa lolote na inakubidi umpende kama baba.
Mimi nimempa mimba miezi 8 nampenda ila ndugu zangu hawampendi.
 
Kama ni Wewe ndio zako nenda kamsaidie mwenzio kulea mtoto acha ujanja wa mjini utie mimba halafu ukimbie,then unajifanya sijui hujampenda,Si ungetafuta uliempenda??hivi hali hii sisi wanaume tunamkomoa nani na kwanini miaka yote usimwambie kuwa hutaki mtoto mpaka ujipange..hii inaumiza sana Aisee utie mimba binti wa mtu baadae unajifanya hujampenda,na huyo mtoto atalea nani.
 
Mnalala nao hamuwapendi na bado hamtumii condom mkitajiwa mimba mnakimbia. Kila unachokifanya kina matokeo yake baadae. Nashangaa wanaume wakati wa tendo mnafurahia yakija matokeo mnaruka futi 100. Halafu sio kwamba tunapenda kubeba mimba zenu ila inatokea imeshaingia na ukiwaza siku hizi matatizo ya uzazi yalivyo mengi unaona bora uzae huwezi jua huyo ndo mtoto pekee aliyebaki kwenye tumbo lako
Na wewe kwa nini ubebe mimba hovyo bila mpangilio? Kwa nini na wewe usinikumbushe kuhusu ndom
 
Sisi tunalala na nyie wengi sana amabao hatuwapendi,wengine tupo nao kwa sababu ya kusex tu na si vinginevyo
Kweli kabisa inatokea hali hiyo nishawahi kuingia kwenye hayo mahusiano yani unakua hujali wala nini we ukimuona unaona kipochi manyoya tu kwake ila u don't feel love wala nini na ukipiga sanaaaa basi ni 3 yani inshort ukifika kilimanjaro mara 2 tu unajikuta na ham ishakata unless akulazimishe muendelee......ila vinakuaga vitam vya namna hiyo......teh teh teh don't take too serious.....
 
humpendi lakini ukalala nae bila kuchukua tahadhani halafu ana mimba humtaki...!!! yaani mada nyingine wala msizilete hapa maana mnajidhalilisha tu, utumbo mtupu.
Tatizo nyege ikishakaba ni tatizo
 
Mm siwzi lala na mwanaume nisiempenda sasa wewe uweje na demu humpendi? Ujinga.
Sio ujinga ndo maana kuna hadi malaya wanajiuza....jiulize tu je kuna mwanaume anaempenda malaya mpk alale nae? Yani ipo hivyo mwanaume analala na demu hata asiempenda na akamkamua vizuri tu huyo dem mpk akafurahi na roho yake......kumbe anajifurahisha nafsi yake na kuondoa ugumu na kukaza vizuri ni kama kuchonga mzinga vile ili kesho akikuomba tena uone ubahili kumnyima kila ukikumbuka utam unaopata.......teh teh teh btw don't take it too serious
 
Nashukuru mola kwa kuniepushia na wavulana.Poleni mliobebeshwa mimba na hivi vijitu! tena poleni saana!
 
Back
Top Bottom