juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wanajamvi habari?
Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?
Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.
Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.
Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani ardhi ipasuke utumbukie ndani, na unamchukia milele japo a analeta mtoto.