Wanajamvi habari?
Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?
Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.
Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.
Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani aridhi ipasuke utumbukie ndani,na unamchukia milele japo a analeta mtoto.
achana na hab.ari ya genye kwani tunapowachomekea kwenye mashimo ya mavi unadhani tunapenda kushika mav. yenu genye zikipanda unachomeka popote unakuja kupata .akili baadaehumpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
hahahahahahahaachana na hab.ari ya genye kwani tunapowachomekea kwenye mashimo ya mavi unadhani tunapenda kushika mav. yenu genye zikipanda unachomeka popote unakuja kupata .akili baadae
Ha ha ha hapo jana yake umepiga unamuoa anafanana na BeyonceTeh teh..Yeah..Pombe ilinirubuni..Mana nilivyokutana nae mara ya pili nusu nimkatae..Dada wa watu ana kiuwalaza kichwani kama mtoto wa kiume..Amejishindilia vipodozi bila formula yeyote..Halafu maskini ya Mungu sijui hajui sura yake inaishia wapi..Mana alikuwa kajipaka makeups halijui kwenye kipara..
Swali la kijingaUnalala vipi na mwanamke usiyempenda?
Anapewa mimba involuntarilyhumpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
kwahiyo ni Pombe na dushe ndo vinaushirikiano wakati huo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji144] [emoji144]Kuna kipindi nilikuwa tungi..Pombe zikafanya mapenzi na binti mmoja hivi..Baada ya mwezi ananipigia simu hazioni siku zake..Nilihisi moyo umepalalaizi aisee..Nashukuru alikuwa anatania..Ndo ulikuwa mwanzo wa kuacha Pombe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yesu na mariaTeh teh..Yeah..Pombe ilinirubuni..Mana nilivyokutana nae mara ya pili nusu nimkatae..Dada wa watu ana kiuwalaza kichwani kama mtoto wa kiume..Amejishindilia vipodozi bila formula yeyote..Halafu maskini ya Mungu sijui hajui sura yake inaishia wapi..Mana alikuwa kajipaka makeups hadi kwenye kipara..
mwisho wa mwez sbakiz hata coin bankKwa jinsi hizi laana zinavyoshangiliwa wacha tu NIBIRU iigonge DUNIA tufe tu....
Said it all my foots. Buyu ndio nini?!You have said it all... lol
just curious r u a "living proof" of what you have written here... or you simply felt the need to give us a heads up
Pumbavuuuuu. Kwa taarifa yako hao ndo wanaupendo na kama umeshawishi mtu atoe mimba kisa humpendi jehanamu inakungoja. Si hukumu bali jehanamu inakungoja lazima uwe kuni
Wewe unayelala na usiyempenda ndio mwerevu? Halafu matokeo huyapendi.Swali la kijinga