Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Muache kupiga kavu kavu wote Ke & Me. Tatizo mkiwa Kibo kileleni hamuambiwi kitu mpaka mwezi akose siku zake ndo akili inatia timamu..Kuwa na mtoto ni majukumu ya hali ya juu si lelemama.
Ila hizo lips zako zinaleta hamu kwelikweli
 
humpendi lakini ukalala nae bila kuchukua tahadhani halafu ana mimba humtaki...!!! yaani mada nyingine wala msizilete hapa maana mnajidhalilisha tu, utumbo mtupu.
Ipo na inatokea ndio maana kakuambia anamtamani kwa ngono tu sio kuoa
 
Muache kupiga kavu kavu wote Ke & Me. Tatizo mkiwa Kibo kileleni hamuambiwi kitu mpaka mwezi akose siku zake ndo akili inatia timamu..Kuwa na mtoto ni majukumu ya hali ya juu si lelemama.
Kweli mkuu kuwa na Mtoto ni jukumu kubwa sana, mimi imenitokea na Mtoto yupo mbali nam yaani sababu za kutaka kila kukicha pesa haziishi, mpaka najuta, naona bora angekuwa kwangu tu
 
Wanajamvi habari?

Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?

Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.

Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.

Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani ardhi ipasuke utumbukie ndani, na unamchukia milele japo a analeta mtoto.
Yes afu awa wanawake ni ving'ang'anizii bala
 
Yashanisibu haya, Makaveli mimi.. Mwisho wa siku inabidi ukubaliane tu na hali halisi maana haina jinsi.
 
Nina wasiwasi sana huenda kabla ya mimba ulimpenda sana na ulikuwa tayali kwa lolote! Siku zote kuna upepo mbaya mtu anaposhika mimba kuchukiwa uchukia pia hofu. , acha tamaa wajibika nahisi km unaogopa majukumu pia acha tamaa, naamini leo unasema huna mapenzi nae kesho akimaliza kunuka maziwa utampenda. Ndivyo wakaka mnavyowafanyia mama zenu.
 
Back
Top Bottom