Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,393
- 1,912
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tupo km unavyotuonahumpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tupo km unavyotuonahumpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
Asante kwa kukazia mkuu,hata hivo hayo yote nmeeleza vizuri tu kwenye uzi sema tu dada ni mvivu wa kusomaDADA tuelewe tu wanaume, mwanaume anafanya lile tendo kwa kutamani na wala si kwa kupenda au kwa hisia kama ninyi, ni kawaida kabisa kwa mwanaume kulala na mwanamke asiye mpenda na wala hana hisia naye kabisa.
ndivo tulivyoubwa dada, tusamehe bure.
Sisi tunalala na nyie wengi sana amabao hatuwapendi,wengine tupo nao kwa sababu ya kusex tu na si vinginevyo
When you are dead, you don't even know that you are dead. It's only pain for others.
Same thing when you are stupid.
we Men need sex
sex and love are two different tingz to us
we Men need sex
sex and love are two different tingz to us
Sio ujinga ndo maana kuna hadi malaya wanajiuza....jiulize tu je kuna mwanaume anaempenda malaya mpk alale nae? Yani ipo hivyo mwanaume analala na demu hata asiempenda na akamkamua vizuri tu huyo dem mpk akafurahi na roho yake......kumbe anajifurahisha nafsi yake na kuondoa ugumu na kukaza vizuri ni kama kuchonga mzinga vile ili kesho akikuomba tena uone ubahili kumnyima kila ukikumbuka utam unaopata.......teh teh teh btw don't take it too serious
Mi imenitokea demu katimuliwa.kwao anaishi kwa rafiki na mimi nimetumbuliwa jipu basi niko taabani ahera siendi wala.duniani siondoki
Isee me niliponea chupu chupu kwa beki3
kweli mkuu tubadilike.Ndo maana mambo yakujifanya kiborokudinda nilishayaacha kitambo sana, nadate na msichana ambae ninamalengonae.
wanaume tubadilike.
Nyie tusipowambia ,nakupenda,huwa hamkubali ,kwa hiyo lazima udanganywe tukwanini usichukue mwanamke anayejiuza kukidhi haja zako? unaharibu maisha ya mtu ovyo?
labda kama na huyo msichana naye pia anataka kusex ila usimrubuni kwa kumwambia unampenda, bora umnyamazie usitamke hilo neno
Kumbe hata nyie mnakung`utwa na wanaume msiowapenda??[emoji15]Uuhii yan hakuna kitu kibaya kama hicho. Mimi msichana naelewa hicho kitu; yan hata msichana akipata mimba kwa mwanaume asiyempenda ni tabu aiseee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi imenitokea demu katimuliwa.kwao anaishi kwa rafiki na mimi nimetumbuliwa jipu basi niko taabani ahera siendi wala.duniani siondoki