Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

asilimia kubwa ya wanaume tunalala na wanawake tusiokua na mipango nao,tunapiga ili tusepe kumbe manzi kakuelewa.
Alafu ni wabishi ukimwambia tutumie kinga utasikia OOhh kondom zinasababisha fangasi so twende kavu..Hata kutumia zile dawa za kuzuia mimba bado ni wabishi mno..Hawa wa miaka ya 22 kushuka chini ni wasumbufu mno

images
 
Ngoja ni-subscribed..hii topic inanihusu..
 
Mnalala nao hamuwapendi na bado hamtumii condom mkitajiwa mimba mnakimbia. Kila unachokifanya kina matokeo yake baadae. Nashangaa wanaume wakati wa tendo mnafurahia yakija matokeo mnaruka futi 100. Halafu sio kwamba tunapenda kubeba mimba zenu ila inatokea imeshaingia na ukiwaza siku hizi matatizo ya uzazi yalivyo mengi unaona bora uzae huwezi jua huyo ndo mtoto pekee aliyebaki kwenye tumbo lako
hawa sio wanaume ndugu yangu..Ni wavlana wote wanaounga mkono hii hoja napia bado hawajapevuka vya kutosha kiakili ndo mana mengine wanayoyafanya ni kwa kuendeshwa na mihemko tu sio ubongo.Na mateso pia yanatokea upande wa jinsia ya pili!
Mwanaume ni yule aliepevuka kiakili na sio tu kimwli.Mwanaume anajua lazma atumie kinga ikiwa hana mapenz na mwanamke anaekutana nae kimwili coz lazima atawaza nikicheza kavu na huyu hlf akabeba mimba c ntawajibika kulea hlf sina malengo nae?? hapo atakihurumia kiumbe kitakachotungwa na ili asije kuleta mtoto wa mtaani atatumia kinga! na pia mwanaume anaejelewa hawez kuchezea mda wa mwanamke anamzuga ooh nakupenda eti hadi miaka mitatu wakati hampend wala hana future nae hlf siku akabeba mimba anakimbia!! huyu ni mvulana sio mwanaume..
Na majority ya hawa wasela unapishana nao njiani wamevaa modo,milegezo,mbwembwe kibao na vyuoni ndo wanaongoza kumimbishana na kukimbiana! mtest hata IQ yake juu ya mahusiano utaona alivyo mtupu kichwani.
 
Labda haukuwa kivutio kwao..Au ni PM picha yako nikuambia kwa nini walikukimbia
hawakunikimbia bali walinijia kwa mamia nkawakimbia na sasa nimeona faida ya kuwakimbia kwani ni bint mbichi na nko na mwanaume anaejielewa.au ulitarajia niseme nilibebeshwa mimba na vivulana chuoni then akaikataa leo nko singo mother 😀😀😀
pyeeeeeee😛😛😛😛😛😛😛😎
 
Wenye maneno mengi kama nyinyi ndio mnapewa mimba kiboya na maboya sana
 
Leo unaona huyo mwanaume anajielewa kesho utasema alikuwa ananipotezea mda..😀😀😀😀
Au labda kipindi hicho haukupata wa kukutundua vizuri...
 
Wenye maneno mengi kama nyinyi ndio mnapewa mimba kiboya na maboya sana
maboya si ndo nyinyi wavlana mnamimbisha mnakimbia??? huna hoja kutetea hoja yako pale juu unaishia kubwabwaja tu ka mvuta bangi!
Ushauri wangu kwako:kama unajijua huna pesa za kule.a mtoto na bado unasoma au unakula ugali wa shkmoo tumia kinga kaka angu kwa huyo usiempendq pia.Na wala hutapata mimba ya kuikimbia! na mda ukifika huyo usiempenda utajua lan kufanya..Mbona simple tuu😎😎😎
Kwani ndom sh ngapi😎😎😎
 
Ushauri wangu kwako:kama unajijua huna pesa za kule.a mtoto na bado unasoma au unakula ugali wa shkmoo tumia kinga kaka angu kwa huyo usiempendq pia.Na wala hutapata mimba ya kuikimbia! na mda ukifika huyo usiempenda utajua lan kufanya..Mbona simple tu..Kwani ndom sh ngapi😎😎😎
 
Leo unaona huyo mwanaume anajielewa kesho utasema alikuwa ananipotezea mda..😀😀😀😀
Au labda kipindi hicho haukupata wa kukutundua vizuri...
dat cant happen..He is really matured man...Hanaga upumbavu huo
 
maboya si ndo nyinyi wavlana mnamimbisha mnakimbia??? huna hoja kutetea hoja yako pale juu unaishia kubwabwaja tu ka mvuta bangi!
Ushauri wangu kwako:kama unajijua huna pesa za kule.a mtoto na bado unasoma au unakula ugali wa shkmoo tumia kinga kaka angu kwa huyo usiempendq pia.Na wala hutapata mimba ya kuikimbia! na mda ukifika huyo usiempenda utajua lan kufanya..Mbona simple tuu😎😎😎
Kwani ndom sh ngapi😎😎😎
Dada wakimbia mimba sio wala bangi tu,,kuna watu tunawajua wana status zao nzuri ila wamekimbia mimba.na wana kazi ila wanakaa mimba,by the way,kupata mimba ni uzembe wa mwanamke wenyewe,kama unaachiaachia pekupeku unategemea nini? Karenda zipo ila unaenda kufanywa unategemea nini? Kupata mimba ni ujinga wa mwanamke tu
 
Leo unaona huyo mwanaume anajielewa kesho utasema alikuwa ananipotezea mda..😀😀😀😀
Au labda kipindi hicho haukupata wa kukutundua vizuri...
dat cant happen..He is really matured man...Hanaga upumbavu huo
 
Dada wakimbia mimba sio wala bangi tu,,kuna watu tunawajua wana status zao nzuri ila wamekimbia mimba.na wana kazi ila wanakaa mimba,by the way,kupata mimba ni uzembe wa mwanamke wenyewe,kama unaachiaachia pekupeku unategemea nini? Karenda zipo ila unaenda kufanywa unategemea nini? Kupata mimba ni ujinga wa mwanamke tu
haya juve umeshinda!ila hope utafuata Nlokuhusia ili usije kubebesha mimba hao wanaoachia pekupeku..peace!
 
humpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?

Kupata mimba ni kosa kubwa sana la wanawake wenyewe huwezi niambia hujui kutumia pregnancy prevention tabs kuna za 72hrs baada ya kufanya sex kama hukutumia ndoms sasa unaanza laumu mwanamme kosa hilo then ukiwa na mimba ati unasema hukujua kweli huwezi jua body activities za mwili wako kuwa najihisi ndivyo sivyo jamani tuache kufanya yale mambo yakusema umekutwa na boyfriend wako unacheeat then unasema ni shetani kanipitia ? kweli? huyo shetani ulikuwa na mihadi nae nini?

So usi usihukumu wanaume kwa ubebaji wa mimba kwanza mkubaliane kama mimba mwatakiwa itungwee kwa pammoja nasio kumshikisha mwenzio then unasema ati baby nadhani ninamimba? kha mbona hukunishirikisha kuwa unataka tuzae nami
 
Wanaume wengi wanaweza lala na demu asie mpenda kukidhi haja zakethat is very possible,

kwangu mie lazima nikupende na test zangu
 
Wanajamvi habari?

Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?

Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.

Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.

Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani ardhi ipasuke utumbukie ndani, na unamchukia milele japo a analeta mtoto.
Hii ndio sababu iliyonifanya nisizoeana sana hasa mazoea ya kimapenzi na msichana ambaye simpendi ila nnayempenda chochote kile mi nafanya tu
 
Back
Top Bottom