Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

Nililaumu sana ilipontokea ila kwa sasa nimeamua kumzoea tu maana hamna namna sasa,,ni kumuhudumia tu mtoto
 
Wanajamvi habari?

Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na kati hao ni 10% tu ndio wanaishi au kulelewa na wenzao,ila waliobaki wengi wapo makwao au wamepanga bila mababa wa watoto wao, sasa unajua ni kwanini wapo peke yao?

Ni kwasababu wanaume wengi tunakuwa na wanawake sio kwasababu ya familia,bali kwasababu ya kufanya ngono tu,yaani unaweza kuwa na msichana hata miaka mitatu ila hujampenda kwamba awe ndio mke.

Sasa unakuta msichana humpendi halafu yeye anabeba (kibendi) mimba, nakwambia hapo utajuta sana na mara nyingi wasichana wa hivo huwa hawana muda kabisa wa abortion wala kinga yaani wanabeba mimba fasta.

Unakuta unapiga siku moja na siku hiyohiyo anabeba buyu sasa omba isikukute hiyo yaani omba isitokee msichana humpendi halafu anakwambia "baby sijaziona siku zangu" unamwambia aende akapime mimba anakuja na majibu haya "baby am very happy,am pregnant" utatamani aridhi ipasuke utumbukie ndani,na unamchukia milele japo a analeta mtoto.
nimesoma hii link yako Katembea na msichana mwenye UKIMWI, je nimwambie?
afu nikaipitia hii nayo nimegundua unaupungufu flani wa afya bora katika ubongo wako.
 
humpendi lakini ukalala nae bila kuchukua tahadhani halafu ana mimba humtaki...!!! yaani mada nyingine wala msizilete hapa maana mnajidhalilisha tu, utumbo mtupu.
Hivi unadhani ww ukijiingiza kwny 18 yangu ntakuacha hata kama sikupendi hamna kitu kama hicho...Nakupiga miti vizuri sana
 
Hahaaaa... mmoja alipata mimba ya guy wa bestfriend wake.. The guy hamtaki Dada na bestfriend hataki hata kumuona kabaki na yy anaelea.
 
Kwa jinsi hizi laana zinavyoshangiliwa wacha tu NIBIRU iigonge DUNIA tufe tu....
Mkuu Umenichekesha Sana, Omba NIBIRU isigonge,
Kwani Hukumu yetu ndo hiyo wote?
Namaanisha Hukumu ya Mwili!
LI NIBIRU lipitilie Mbali tupate Muda wa Kutubu Mkuu
 
Hahhhaa iyo ilimkuta best yangu,alikuwa na mtindo wa kuruka show na mabint wa kazi za majumbani(beki 3)..daaah cku moja alikuja shangaa hodi imepigwa home kwao alafu kaja yule beki 3 kaongozana na watu wa5,,alafu demu akaropoka ndo huyo apo mwenye mimba hii,,yaaan mpaka inafkisha miez 4 demu hakumwambia jamaa kama anaujauzito wake...duuuu alafu ilikuwa jamaa anapiga kama match za ndondo......tujifunze wanaume tuwe tunatumia kinga maana watoto weng sana wanaish bila malez ya baba zao
 
Mkuu Umenichekesha Sana, Omba NIBIRU isigonge,
Kwani Hukumu yetu ndo hiyo wote?
Namaanisha Hukumu ya Mwili!
LI NIBIRU lipitilie Mbali tupate Muda wa Kutubu Mkuu
Tutatubu mbele ya safari mkuu....ngoja kwanza tutangulue.....mambo mengine yatafahamika mbele kwa mbele
 
Teh teh..Yeah..Pombe ilinirubuni..Mana nilivyokutana nae mara ya pili nusu nimkatae..Dada wa watu ana kiuwalaza kichwani kama mtoto wa kiume..Amejishindilia vipodozi bila formula yeyote..Halafu maskini ya Mungu sijui hajui sura yake inaishia wapi..Mana alikuwa kajipaka makeups hadi kwenye kipara..
iyo ilikuwa majanga!
 
humpendi halafu unampa mimba, wanaume sijui mkoje?
Muda mwingine huwa tuna duu kwa ajili ya tamaa tu au mazingira ndio yana sababisha na sio kwamba unampenda. Kubeba mimba inakuwa ni kisebengo chake tu.
 
Back
Top Bottom