Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Mmh hao watu hawana lolote kwanza ni vifupii af mi nshawai kua na boy msafwa yan ilikua kero tuu i hate them
 
Sasa unajua mimi nishapitia wanawake wengi sana wa aina mbalimbali , nikaja kugundua kuwa uzuri wa mwanamke sio rangi wala shape wala sura..

Ila sio mbaya utakuja kukubaliana na mm siku moja
Yap hapo uko sawa mkuu
 
Mkuu mambo ya sasa si ya zamani. Zamani walikuwa na msemo "uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia". Tabia waliyoitaka ilijulikana-- uchapa kazi na ukarimu. Mwanamke alipimwa tabia kwa uwezo wake wa kulima, kupika na ukarimu.

Sitegemei na nitamshangaa yeyote atakayekumbatia msemo huu ktk zama hizi. Unaposema unajali tabia na siyo sura na shepu:- tabia zipi? Unajali usichokijua. Shepu, sura na rangi vinajulikana.
Mmmh ww unahitaj ushaur kdgo, labda ubahatike upate mwanadada mzur na mwenye tabia nzur pia bt ukiangalia uzur pekeake utapotea coz wadada weng wazur wanamambo meng na hua wanakibur coz wanajijua kua n wazur so huwez kumbabaisha! Otherwise uwe na pesa za kutosha trust me
 
Mmmh ww unahitaj ushaur kdgo, labda ubahatike upate mwanadada mzur na mwenye tabia nzur pia bt ukiangalia uzur pekeake utapotea coz wadada weng wazur wanamambo meng na hua wanakibur coz wanajijua kua n wazur so huwez kumbabaisha! Otherwise uwe na pesa za kutosha trust me

Kuna mtafiti mmoja wa masuala ya kimahusiano alifanya tafiti nyingi sana mwishowe akahitimisha kwa kusema "hakuna kanuni inayoweza kuwa mwarobaini wa kumpata mwenza".

Unajua sabb ya mikorogo kuwa na soko? Kila mwanamke anataka kuwa mrembo. Na akisha utumia mkorogo anajiona mzuri. Kwa ufupi hakuna mwanamke mbaya zama hizi.

Kwa bahati mbaya sana anayejiona mpk nafsini mwake kuwa ni mbaya siku akitongozwa hakatai. Anaona ni bahati ya mtende kusimamishwa na kuombwa uroda.

Mwaka jana jirani yangu ni kijana mtana shati mzuri wa sura na rangi, ana elimu ya chuo kikuu. Ana mke darasa la saba sura haitazamiki, shepu tuta la viazi na mchafu kuoga. Ana kiburi kama boko haramu.

Siku ametuita kusuluhisha mgogoro huo, mwanaume akawa anasema kwa uchungu kuwa huyu demu analingia nn?? Ndugu ni kumuomba mungu tu.

Nadhani mke mwema siyo kabila bali mwenye hofu ya mungu ( siyo anayehudhuria kanisani/msikitini bila kukosa. Hapana! Hapana! Mwenye hofu ya mungu).
 
Hakuna lolote tabia ya MTU,kuna watu nawafahamu ni malaya hatari na ni walevi kinoma,
 
sio wachepukaji tu!Lakini sifa zingine ni aghalabu kuzipata!uzuri wa sura, ulaini (maana ni wagumu kweli chezea kulima viazi??), ulevi, ushirikina, majungu, etc
 
sio wachepukaji tu!Lakini sifa zingine ni aghalabu kuzipata!uzuri wa sura, ulaini (maana ni wagumu kweli chezea kulima viazi??), ulevi, ushirikina, majungu, etc
Muangalie izzo b alivo handsome harafu unasema sio wazuri
 
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini.kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu.aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi.huwa sio wasariti kabisa yani wao wakiwa na mtu basi ni huyohuyo.walahi naapa nikutaka kuoa ntawasafiria hukohuko wanakopatina
Unawafahamu vizuri au unawasikia mkuu?
 
Mtoa hoja unaweza ukawa sahihi kwenye hilo, ila mbona hujataja tabia kama ubinafsi, ulevi wa mataptap, uchafu, kujitenga na makabila mengine na kutopenda elimu? Me nimezaliwa na kuishi mbeya almost miaka 20 nawajua vizuri hawa jamaa
Ndo maana nimemuuliza anawafahamu vizurii au ameropoka tuu
 
Hao hawapatikani mbeya,

Wanapatikana mkoa wa songwe , pale mbozi , maeneo ya Vwawa
Umechanganya mkuu hao unaowaongelea wanaitwa wanyihaa wasafwa wanapatikana kuanzia uyole kuelekea Barabara ya kyela
 
Umechanganya mkuu hao unaowaongelea wanaitwa wanyihaa wasafwa wanapatikana kuanzia uyole kuelekea Barabara ya kyela
Nawafahamu mwanzo mwisho.hadi kisafwa naongea chote.na kwa taarifa yako usikariri kwamba wanapatikana barabara ya kyela na uyole ti,,hao wapo sehemu kibao pale mbeya mjini.wapo iziwa,iganzo.uyole,ilomba,sai,ghana,pembezoni mwa mlima loleza,mbeya peak kule karibu na mlima mbeya,inyara,itende,n.k
 
Mkuu Juvenile kabila haliolewi anaolewa mtu. Sidhani kama kabila ni sifa kubwa katika kupata mke ama mume. labda kama unawapigia debe wasafwa. Binafsi ninawafahamu sana wasafa na nimeishi nao kwa muda mrefu sana, sifa ulizowapa hazi-apply kwa wote automatically. NO. hizo hutokea on indiviual basis.

Na ili uone kuwa nawafahamu vizuri naongezea hayo yalielezwa na mkuu Shemtibuko hapo juu. sehemu nyingine walipo wasafwa ni Uyole, Mbalizi, Igoma, Ilungu, Ilomba, Ntangano, Nsongwi, Mantanji, Inyala, Kawetele, Iduda n.k. na majina yao ya asili ni kama (kwa wanaume)Shungu, Mbwiga, Ndele, Nzunye, Mwava(kwa wanawake) Tabu, shimba, Nzoho, Ilongo ama Yilongo, Shaali, Mbozyo, Mwisyo, Shoogoo.
show-GO(SHOOGOO)[emoji2]
 
Sawa sawa, sisi wasafwa ni watu wazuri sana tuli vantu vinza wene. Mwinzaje huhaya Iganzo, Idimi, mwansenkwa & kawetile.
Ila hua hatutahiri so kitu natural karibu sana kuoa au kuolewa
umenikumbusha muigizaji wa kihindi...govinda. kumbe ninyi ni team govinda!!!! teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom