Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Nawafahamu mwanzo mwisho.hadi kisafwa naongea chote.na kwa taarifa yako usikariri kwamba wanapatikana barabara ya kyela na uyole ti,,hao wapo sehemu kibao pale mbeya mjini.wapo iziwa,iganzo.uyole,ilomba,sai,ghana,pembezoni mwa mlima loleza,mbeya peak kule karibu na mlima mbeya,inyara,itende,n.k
Vizuri, kama unawafahamu basi umelewa mapenzii mpaka unamwaga sifa huyo mmoja unafikir ni wote yaani umegeneralize kitu ambacho si kwelii, mm mpaka sasa niko maeneo ya kwao huku igawilo sifa ninayoiona ni ya uchapa kazi tu
 
...vipi wanawake wa tukuyu??....hapo hiyo njia ya kwenda kyela...kuna K ninapiga ya tukuyu hapa arusha...anatoa K kwa kiwango kikubwa.....lakini anaonekana mpenda pesa sana....
 
Sawa binafsi nawafahamu sana hawa wasafwa shida yao kuu ni uchafu lakini pia unywaji pombe kwao si mtoto wala mtu mzima na pombe kwa mtoto kwao ni dawa. yaani wakiwa shambani mtoto akawa analia tu basi hapo mtoto atapigishwa pombe wao wanaita "hombwa" Basi mtoto kuja zinduka tayari washamaliza kulima.
 
[emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna harufu ya ukweli juu ya hilo,,ila hiyo n zamani sana enzi za nyerere na si kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom