hahahaah kumbe..!!Namaanisha wachafu sana, hawajali miili yao na mazingira yanayowazunguka. Kwa kifupi kama bata wa mjini vile.
Tembea uone,,ukienda mbeya mjini wapo wengu mkuu na ni watu poa sana,ila tatizo lao sio watu wa kutembea sanaLeo ndio mara yangu ya kwanza kusikia kabila hili.
Wasafwa?
wafupi ni wakingaMkuu wafupi ni waluguru
Enyi lelo, mwandile yanje ishisafwa ipa! inshimenye sana ishisafwa lelo saga indi safwa. Amaha gala nakhalaga Yole. inziku ezi embuyile kwetu. omu muyangaje ishiswahili. mwumvwizye?Awe Hushonya ufumila whi? ane niwinji ifumila Hunsangambi.
Reaoning yako ni mbovu lkn nimeikubali kwa asilimia miaShida kubwa ya wanawake wa makabila ya mbeya ni rangi na shape. Wana rangi nyeusi sana, ukiona kang'aa ujue mkorogo. Na shape zao kama tuta la viazi.
Sasa hao wasafwa na ufupi juu. Ndiyo maana waaminifu kwenye mahusiano.
Na kwa kawaida wanawake wabaya wa shape na sura ndiyo waaminifu
Haa haa haa kumbe ufuma hwimezu?!! kumbe uli jirani wane hugunda. ate ugunda gwetu guli ndundu. idala tujendela hwa mwashoma.hahhaaaaa...sanyunu imojile tee alole i thread ya safwa ani ni safwa afume whimezu
Mkuu mbovu tena? Halafu unaikubali 100%?Reaoning yako ni mbovu lkn nimeikubali kwa asilimia mia
Mbona nawe oyanga eshisafwa omu?Enyi lelo, mwandile yanje ishisafwa ipa! inshimenye sana ishisafwa lelo saga indi safwa. Amaha gala nakhalaga Yole. inziku ezi embuyile kwetu. omu muyangaje ishiswahili. mwumvwizye?
Manyi oli mwalangani??Umayi wani afuma humwashoma kabisa, nasisi tulinamgunda whindundu
Huyo aliolewa na msafwa fake ,nawajua wasafwa tabia zao hawanaga matatizo,ila wanaume wana tabia za kupiga wakikosewa na wake zaosiku hiz hakuna cha kabila ni tabia ya mtu. Juz kuna maza 1 katupia uzi alikuwa anamlalamika kuolewa na msafwa. Tafuta utaiona tu.
Ni ngumu kutompata mwenye sifa hizo,nawajuakaaazi....je ukumpata asiye na hizo sifa ulizotaja....?
Wakuongeze ndovu 5.. bili kwangu.Unaoa kabila au unaoa mtu?