Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

Babu yangu aliwai sema ole wake atakaye olewa/oa na msafa ikabidi nitafiti kwann alisema hayo nigagundua yafuatayo moja na kubwa kuliko yote ni uchafu lakini pia katika mahusiano siyo waaminifu hata kidogo ! ila kwa sasa hivi wengi wamestaharabika unaweza oa kama asili haimati
 
Kama kuna mdada kabila hilo yupo hapa hebu ani pm sasa hivi tufanye collabo
 
Babu yangu aliwai sema ole wake atakaye olewa/oa na msafa ikabidi nitafiti kwann alisema hayo nigagundua yafuatayo moja na kubwa kuliko yote ni uchafu lakini pia katika mahusiano siyo waaminifu hata kidogo ! ila kwa sasa hivi wengi wamestaharabika unaweza oa kama asili haimati
Wasafwa wachafu ni zamani mkuu,siku hizi kila mtu ni educated
 
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini.kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu.aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi.huwa sio wasariti kabisa yani wao wakiwa na mtu basi ni huyohuyo.walahi naapa nikutaka kuoa ntawasafiria hukohuko wanakopatina
Wanapatikana kwa wingi mbeya mjini na vijijini ambako ndio asili yao , chunya , mbarali , mbozi kiasi hasa Tunduma , vwawa na mlowo , rungwe sehemu iitwayo isyonje na namba one . Salam yao mwagona , chakula chao viazi , ugali , wali na ndizi . Ukiiba wakakukamata wee ni moto tu
 
Lakini wate ni jamii ya wanyaki.....?

Hapana Mkuu Wasafwa wao ni wenyeji wa Mbeya Mjini na Mbeya vijijini (Uyole,Iduda,Iwalanje,Ituha,mwijombe,Mwasanga,Iganzo,Mbalizi,Loleza,Inyara,Isyesye,Nsongwi,Ilomba,Sae nk)

Wanyakyusa wao ni wenyeji wa Rungwe (Tukuyu,Kiwila,Kyela,Ruangwa,Itete,Isongole,mwakaleli nk)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom