Ane ne safwa wa hushonya. Ishisafwa saganshimenye shiza.Saga endi safwa ila emenye eshisafwa[emoji2]
Mkuu wapo uyole, wapo iziwa along mlima loleza.Mkuu hawa watu hawana makazi maalumu,huwa wanapenda kukaa pembezoni mwa miji,hao wa Mbozi ni wanyiha
Mkuu hawa watu hawana makazi maalumu,huwa wanapenda kukaa pembezoni mwa miji,hao wa Mbozi ni wanyiha
Mkuu mambo ya sasa si ya zamani. Zamani walikuwa na msemo "uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia". Tabia waliyoitaka ilijulikana-- uchapa kazi na ukarimu. Mwanamke alipimwa tabia kwa uwezo wake wa kulima, kupika na ukarimu.Nashukuru kuona comment ya mwanaume kwa mara ya kwanza humu, ni mvulana tu ndio ata judge uzuri wa mwanamke kwa muonekano wa rangi,shape na sura...There is more than that katika mwili wa mwanamke only grown folks do figure out!
[emoji2] [emoji2] mkuu iziwa na mlima loleza umenikumbusha mbali sana,miaka ya 2000 kipindi nasoma mbeya tulikuwa tunaenda kule mlimani.hawa watu tatizo lao ni kujitengaMkuu wapo uyole, wapo iziwa along mlima loleza.
Mbona Mamaako Mfupi Na Black Lakn Babako Alifanya Fair Kumuoa?!.Tatizo wengi wafupi mno yaani ni ndi ndi ndi.
Halafu weusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Sie tunaopenda white chicks zinazong'aa kama taa ya power saver tunapata tabu sana.
Wasafwa ni watu wanaochekesha sana ukisikia stori za kuwahusu, halafu usikie wanavohangaika kwamba mbeya ni yao yaani niki-connect ze dots huwa nacheka sana.Mbeya ni ya wasafwa Ndugu hata jina Mbeya linatokana na lugha ya kisafwa yaani Mbeya=Ibheya, wapo all over Mbeya city and its vicinities, kv mlima kawetire,Swaya,Uyole,Mandanji,Isyonje,Ikumbi near Songwe airport et al kwa ufupi jiji la Mbeya wenyeji wake ni wasafwa only that historia yao haitofautiani saana na red Indians kule America[emoji52]
Namaanisha wachafu sana, hawajali miili yao na mazingira yanayowazunguka. Kwa kifupi kama bata wa mjini vile.Uchafu wa vipi??
Naongeza Luna wapo pia irambo usoha mbonile itala na mkuyuni usisahau ngoma yao ya mbeta.majority wapagani.umeshawi kuona mazishi yao?Mkuu Juvenile kabila haliolewi anaolewa mtu. Sidhani kama kabila ni sifa kubwa katika kupata mke ama mume. labda kama unawapigia debe wasafwa. Binafsi ninawafahamu sana wasafa na nimeishi nao kwa muda mrefu sana, sifa ulizowapa hazi-apply kwa wote automatically. NO. hizo hutokea on indiviual basis.
Na ili uone kuwa nawafahamu vizuri naongezea hayo yalielezwa na mkuu Shemtibuko hapo juu. sehemu nyingine walipo wasafwa ni Uyole, Mbalizi, Igoma, Ilungu, Ilomba, Ntangano, Nsongwi, Mantanji, Inyala, Kawetele, Iduda n.k. na majina yao ya asili ni kama (kwa wanaume)Shungu, Mbwiga, Ndele, Nzunye, Mwava(kwa wanawake) Tabu, shimba, Nzoho, Ilongo ama Yilongo, Shaali, Mbozyo, Mwisyo, Shoogoo.
wewe unawasema wanyiha. Wasafwa wanapatikana Mbeya mjini na vijijini.Hao hawapatikani mbeya,
Wanapatikana mkoa wa songwe , pale mbozi , maeneo ya Vwawa
wewe unawasema wanyiha. Wasafwa wanapatikana Mbeya mjini na vijijini.Hao hawapatikani mbeya,
Wanapatikana mkoa wa songwe , pale mbozi , maeneo ya Vwawa
Ane ne safwa wa hushonya. Ishisafwa saganshimenye shiza.
Acha uongo,wasafwa utawakuta mbeya vijijini,pembezoni mwa milima ndo wanaisho huko,Mkuu hata pale Isyonje, Iwalanje, Isongole, Mporoto na Unyamwanga wapo kwa kias kikubwa na pengine ndio dominant tribe.