Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

Huyo unaemuogopa hivo ni mkeo au ni goma linalokuweka mjini?
 
wakati anaondoka hukujua anakwenda wapi. na mda wote yupo huko hakuna mawasiliano ya kujua yupo wapi au akutaarifu yupo sehemu gani.
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu

Dah! Wewe ni muuaji aiseeeh!

Khatari kabisa hii.
 
Lakini ujuwe kuna tofauti kubwa kati ya Mwanaume na mvulana, wavulana kuomba ushauri kama huu ni ruksa siku hizi hakuna jando na unyago. Tuwavumilie siyo makosa yao wala hawakupenda ni madhala ya mfumo na utawandawazi, wazazi wa kiume hatukai karibu na watoto wetu wa kiume kuwafundisha basics habits za kiume, badala yake jukumu la kulea watoto tumewaachia mama zao. hizi ni lawama moja kwa moja tunapaswa kuzibeba wazazi.

Sidhani kijana anayeuliza vitu vyepesi kama hivi kama anapenda bali kuna vitu amekosa, katoto unakaanzisha boarding school tangu nursery sasa akishabalehe wewe utaanza kumfundisha nini? wakati mtoto wako mwenyewe hujawahi kumlea unaona sifa tu ukikaa bar kuwatambia wenzio mwanangu yuko boarding fulani millioni 5 kwa mwaka, ujinga mtupu.
Umenena mkuu
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
alafu wewe tabia yako kujifanya headmistress wa hizi mambo unaniuzi, sasa mautundu yote hayo nani alikufundisha??
 
Halafu utakuja kusikia mijitu mingine ikisema wachaga hawajui mapenzi. Asante sana@miss chagga kwa uwakilishi mwanana.

badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom