Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

unapanga akirudi huyu nitamuliza mbona umerudi usiku huu saa nne ama saa tatu ila akifika tu unaona noma kuuliza ,sasa nisaidieni niulizeje hili swali ili ikamue nyongo , maana unawza onekana una wivu wa kijinga ama mshamba ama mkoloni

akirudi mfungulie mlango kisha taratibu mwambie "karibu mke wangu pole na mihangaiko" kama amebeba mkoba mpokee na mwambie maji ya kuoga tayar umeshamwandalia aende akaoge
 
Mbona unamuuliza vizuri tu tena kwa upendo ila tu usitumie jazba
 
Ukiwa na mwanamke kama wewe, unaishi kwa raha. Kwanza huna pressure
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu

Hahaha kama nakuona vile na kishungi chako.
 
Huo ni upuuzi!
Saa nne bila taarifa?
Lazima mtu aeleze!
Tena taarifa yote sio mukhutasari.

Lakini,
Kwani huko kwenu hakuna simu?
Hata za majirani hamna?
Acha uanalog mwingi.
 
Mwanaume unashindwaje kuuliza swali rahisi kabisa hili? Wee ni BUSHOKE, na mkeo utakuwa unagongewa!
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu

Sasa nimeamua napeleka mahari Marangu,akyamungu vile.
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?

sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
mmmh! wee kiboko.
 
Kweli it takes for a male being a man. Seriously?
 
Kuna ushauri ambao kwa Mwanaume kuomba ni Aibu sana.
Lakini ujuwe kuna tofauti kubwa kati ya Mwanaume na mvulana, wavulana kuomba ushauri kama huu ni ruksa siku hizi hakuna jando na unyago. Tuwavumilie siyo makosa yao wala hawakupenda ni madhala ya mfumo na utawandawazi, wazazi wa kiume hatukai karibu na watoto wetu wa kiume kuwafundisha basics habits za kiume, badala yake jukumu la kulea watoto tumewaachia mama zao. hizi ni lawama moja kwa moja tunapaswa kuzibeba wazazi.

Sidhani kijana anayeuliza vitu vyepesi kama hivi kama anapenda bali kuna vitu amekosa, katoto unakaanzisha boarding school tangu nursery sasa akishabalehe wewe utaanza kumfundisha nini? wakati mtoto wako mwenyewe hujawahi kumlea unaona sifa tu ukikaa bar kuwatambia wenzio mwanangu yuko boarding fulani millioni 5 kwa mwaka, ujinga mtupu.
 
Unamuuliza kwa dirishani ametoka wapi.? Asipo nyoosha maelezo usimfungulie mlango mwambie arudi hukohuko alipotoka...
 
Lakini ujuwe kuna tofauti kubwa kati ya Mwanaume na mvulana, wavulana kuomba ushauri kama huu ni ruksa siku hizi hakuna jando na unyago. Tuwavumilie siyo makosa yao wala hawakupenda ni madhala ya mfumo na utawandawazi, wazazi wa kiume hatukai karibu na watoto wetu wa kiume kuwafundisha basics habits za kiume, badala yake jukumu la kulea watoto tumewaachia mama zao. hizi ni lawama moja kwa moja tunapaswa kuzibeba wazazi.

Sidhani kijana anayeuliza vitu vyepesi kama hivi kama anapenda bali kuna vitu amekosa, katoto unakaanzisha boarding school tangu nursery sasa akishabalehe wewe utaanza kumfundisha nini? wakati mtoto wako mwenyewe hujawahi kumlea unaona sifa tu ukikaa bar kuwatambia wenzio mwanangu yuko boarding fulani millioni 5 kwa mwaka, ujinga mtupu.

Ni kweli mkuu,naamini itakuwa vizuri sana wakiwa wanaanza kwa kujitambulisha kuwa mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka kumi naa..... naomba ushauri wa..... Hii itakuwa rahisi kushauriwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom