Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

Duu....we mwanamke ni kungwi la makungwi....
yani una vitu vidogo vidogo ila vyenye ukweli mtupu
mmeo atakufaidi sana.
Kwa taarifa yako hawa ndo wa kwanza kuachikaga..... Wanaongea tu vitendo sifur
 
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?


sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
Fanya iviivi... Mpokee kwa upendo muache amalize mishe zake mda uo... Mkiwa kitandani mshikeshike mkeo mkisskiss uku ukimuuliza kwa nin kachelewa na kama mwanaume tumia kasauti ka msisitizo lakin kimahaba ukieleza namna iyo hali inavokukera... Wkati uo mikono yko haitulii kwenye mwil wke. Nakuapia hatarudia tena kuchelewa. Sio mwanaume tu anaambiwa kimahaba even a woman.
 
Hivi mlifikiria kama mwanamke anamueka mjini jamaa? Kuweni na huruma [emoji23]
 
Mna watoto wangapi? Mimi, Ka kuna mtoto wa kuogesha ningemuogesha, ningelipika, niwape watoto chakula, nitenge kabisa chetu na mke wangu yaani my love wangu. Nakiweka kwa oven, namsubiri. Akija, nampokea mkoba wake, nampelekea pale anapopenda kuketi. Naleta maji ya kunawa, namwambia; Darling, Najua umechoka ila chakula tiyari najua una njaa. Namnawisha mikono namkaribisha chakula cha usiku. Kama ametoka njia mbaya, hali wala hakai, wala halali ndani. Kama ni mambo ya kawaida ya usafiri na foleni, ataanza mwenyewe kujieleza. Acheni kuwafokea wake zenu, nao ni watu pia ka weye
 
Akifika muulize umetoka wapi muda huu ukikaa kimya IPO siku atarudi asubuhi
 
mpaka anarudi sa nne ucku ina huna mawsiliano na mkeo? shit!
 
Unapanga akirudi huyu nitamuliza mbona umerudi usiku huu saa nne ama saa tatu ila akifika tu unaona noma kuuliza.

Sasa nisaidieni niulizeje hili swali ili ikamue nyongo , maana unaweza onekana una wivu wa kijinga ama mshamba ama mkoloni.
Mh, hata na mwanao utaona noma hivyo hivyo. Kwa hiyo mda huo anaorudi anakukuta ukifanya nini?
 
Mnatatizo la mawasiliano humo ndani?????

Maana wenza wanaowasiliana hata kama mke /mume karudi saa sita usiku unajua alikuwa wapi na wala hutopata presha za kumuuliza maswali


Nadhani mawasiliano yao siyo mazuri na ukiona anasema unaona noma jua mke ni mbabe zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom