Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
wanaume wengine wanakera
Mimi sikuulizi, ila nitakuangalia na kukaa kimya.
wanaume wengine wanakera
ha ha ha ha asante
Duu....we mwanamke ni kungwi la makungwi....
yani una vitu vidogo vidogo ila vyenye ukweli mtupu
mmeo atakufaidi sana.
unapanga akirudi huyu nitamuliza mbona umerudi usiku huu saa nne ama saa tatu ila akifika tu unaona noma kuuliza ,sasa nisaidieni niulizeje hili swali ili ikamue nyongo , maana unawza onekana una wivu wa kijinga ama mshamba ama mkoloni
mmmh! wee kiboko.
acha ujinga wewe ... basia akirudi mkumbatie mpe na pole halafu mwambie na kesho achelewe tena atakuta umepika..
Huo ni upuuzi!
Saa nne bila taarifa?
Lazima mtu aeleze!
Tena taarifa yote sio mukhutasari.
Lakini,
Kwani huko kwenu hakuna simu?
Hata za majirani hamna?
Acha uanalog mwingi.
Wanaume wa aina hii wanahitaji maombi ili wabadilike,
Wanatuaibisha, wanakera...
Nafikiri umepaya jibu la swali lako sasa, nilisema wanaume siku hizi wanazidi kupungua wamebaki wachacheee na kuna hatihati wakaisha kabisaaa, unakumbuka uliniulizaje??
ndio maana mimi ndio mumeo, si unajua jinsi ninavyojiamini, ebu watangazie watu wajueMwanaume asiyejiamini anaboa sio siri.....kama wewe ungekuwa mume wangu ningeomba talaka