RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,411
- 135,035
JF kila siku najifunza jipya...Hiyo njia kwangu mie imebuma kuna mmoja huyo kajipendekeza kila ukipiga mzinga anarusha sasa hiyo hiyo tuu tena inatokea bank kuja kwa mpesa, ukiongeza baada ya siku mbili unashangaa hizo, nimekata mawasiliano wapi napiga chenga za kufa mtu yaani ananitafuta kuliko wa Saanane, najua akinipata nafwaaa mie