Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Sawa tu inakua kila mtu kabaki na chakeKumbuka anaekupiga kizinga kwa mrengo huu ni ambae hakutaki, kwahiyo kuja kuifuata sahau.
Sawa tu inakua kila mtu kabaki na chakeKumbuka anaekupiga kizinga kwa mrengo huu ni ambae hakutaki, kwahiyo kuja kuifuata sahau.
hahahhhusawa huu utakempiga mzinga bila kutoa papuchi ni mzazi wako tu!
Kizinga unakosa aposijiii,et hotelini,ghetto,home kwako and the like...sijiiiii..nani asiejua hiyo janja janja![]()
Hamna bosii nashangaa tuvepee
Unapokuwa umeolewa hauwezi tongozwa ukapiga piga vizinga, na hauentertain tongozo, you hv to keep yo distance. Maybe uzee unanisumbua.kwani wanaume 'hawatumii' married women???
Mmmmh!!Wapo wabishi hata ukisema una watoto kumi, unaamua kumpoteza kwa mizinga lakini daah
Ndiounataka uombwe?
Tunatakiwa tu-note na hiko kituWaambie.
Wakina mm wa uongoje?mwanamme anaekutaka serias lazima aje na mizinga yake ya ukweli unapigwa hela tu ,
Omba Mungu huyo asikupate kwenye kumi na nane, waweza fanywa hadi "vibaya"!!!Hiyo njia kwangu mie imebuma kuna mmoja huyo kajipendekeza kila ukipiga mzinga anarusha sasa hiyo hiyo tuu tena inatokea bank kuja kwa mpesa, ukiongeza baada ya siku mbili unashangaa hizo, nimekata mawasiliano wapi napiga chenga za kufa mtu yaani ananitafuta kuliko wa Saanane, najua akinipata nafwaaa mie