Ficus
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 1,438
- 1,123
Binti una akili sana ww Mungu akupe wa kufafana nawe.Ila mbaya zaidi ukifika umri wa kuolewa utataka yoyote tu
Binti una akili sana ww Mungu akupe wa kufafana nawe.Ila mbaya zaidi ukifika umri wa kuolewa utataka yoyote tu
Wewe wasema maboya.....Hivi bado kuna wanaume maboya kiasi hiko!!!
Ha ha ha! Usikute anatembea na vumbi la Congo kabisa mfukoni...Hiyo njia kwangu mie imebuma kuna mmoja huyo kajipendekeza kila ukipiga mzinga anarusha sasa hiyo hiyo tuu tena inatokea bank kuja kwa mpesa, ukiongeza baada ya siku mbili unashangaa hizo, nimekata mawasiliano wapi napiga chenga za kufa mtu yaani ananitafuta kuliko wa Saanane, najua akinipata nafwaaa mie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio njia nzuri na rahisi. Unapiga kizinga kimoja kitakatifu asipokimbilia jf kufungua uzi basi harudi tena.
Hahahaaa, yaani ukipiga kizinga nakukubalia kuwa nakupa, nami straight foward naomba papuchi.
Ukijibu hunipi, ndo utakuwa umekosa pumzi ya kuendelea kukumbushia kizinga chako. Ukikubali pesa unakuja kuichukulia nyumbani kwangu.
So msidhani kama mmetukomoa katika kuwatongoza.
So njoeni na njia nyingine.
Hahaha unamwambia aje geto kuchukua?
..unaakili wewe.Kula 5Ila mbaya zaidi ukifika umri wa kuolewa utataka yoyote tu
Umetisha,..Hahaha Salute.
Ya nini sasa!!Hua hamuoni aibu?
Ya nini sasa!!
Mbona shida zenyewe hazioni aibu!!Kuomba hela