Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

kama anatambua anachokitaka itabidi acheze mpira kadiri utakavyodunda

Tunatofautiana, kuna mwanaume ambae analengo la kuchovya na kuondoka ila hayupo tayari kutumia pesa nyingi kwenye hiyo papuchi...! hivyo hata kama ukimsepesha kwa kizinga kikubwa ataona bora aondoke maana hata yeye ameona hau-deserve kuiuza kwa hiyo bei na hatojutia
Ila atakutana na mtu ambae yupo tayari kutoa chochote ili hata agusishe tu hata kichwa..LOL
kwa hiyo hata umpige mzinga gani hawezi kujutia ila siku ya mwisho hata akiigusa tu kwa kidole baaaaasi karidhika..
Biashara maridhiano tu..!
Hapo ni mtu ambae hauna interest nae na haumtaki, kumpiga vizinga sio kwa lengo la kumuuzia bali kumfukuza.
 
Hiyo njia kwangu mie imebuma kuna mmoja huyo kajipendekeza kila ukipiga mzinga anarusha sasa hiyo hiyo tuu tena inatokea bank kuja kwa mpesa, ukiongeza baada ya siku mbili unashangaa hizo, nimekata mawasiliano wapi napiga chenga za kufa mtu yaani ananitafuta kuliko wa Saanane, najua akinipata nafwaaa mie
Huwa najua yo married.
 
Hahahaaa, yaani ukipiga kizinga nakukubalia kuwa nakupa, nami straight foward naomba papuchi.

Ukijibu hunipi, ndo utakuwa umekosa pumzi ya kuendelea kukumbushia kizinga chako. Ukikubali pesa unakuja kuichukulia nyumbani kwangu.

So msidhani kama mmetukomoa katika kuwatongoza.

So njoeni na njia nyingine.
Mzee wambie skuizi na wanaume wamebadilishia gia angani..pesa inaifuata lodge au home..
 
Back
Top Bottom