Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Unapiga na unapewa kila ukipiga unapewa halafu mwsho na wewe utatoa tu
 
Hapo umenena vema.. nami kuna mtu alimifanyia hivo siku ya kwanza nlpotoka tu pale na namba nikafuta
 
Ukitoa papuchi ujue una interest nae.
Ukipiga kizinga akatoa, humpi nafasi ya kupumua unapiga kingine kikubwa zaidi.
Enzi za Jakaya hizo...
Siku hizi Midume Suruali tupo kila Kona..
 
Enzi za Jakaya hizo...
Siku hizi Midume Suruali tupo kila Kona..
Lengo ni kumkimbiza mkuu, kwahiyo ukipiga akatoa unajua kumbe nilipiga kidogo, hapo hapo kodi ya nyumba inaisha ghafla unapiga cha kodi kikubwa aah lazima asepe.
 
Hiyo njia kwangu mie imebuma kuna mmoja huyo kajipendekeza kila ukipiga mzinga anarusha sasa hiyo hiyo tuu tena inatokea bank kuja kwa mpesa, ukiongeza baada ya siku mbili unashangaa hizo, nimekata mawasiliano wapi napiga chenga za kufa mtu yaani ananitafuta kuliko wa Saanane, najua akinipata nafwaaa mie
 
Lengo ni kumkimbiza mkuu, kwahiyo ukipiga akatoa unajua kumbe nilipiga kidogo, hapo hapo kodi ya nyumba inaisha ghafla unapiga cha kodi kikubwa aah lazima asepe.

kama anatambua anachokitaka itabidi acheze mpira kadiri utakavyodunda

Tunatofautiana, kuna mwanaume ambae analengo la kuchovya na kuondoka ila hayupo tayari kutumia pesa nyingi kwenye hiyo papuchi...! hivyo hata kama ukimsepesha kwa kizinga kikubwa ataona bora aondoke maana hata yeye ameona hau-deserve kuiuza kwa hiyo bei na hatojutia
Ila atakutana na mtu ambae yupo tayari kutoa chochote ili hata agusishe tu hata kichwa..LOL
kwa hiyo hata umpige mzinga gani hawezi kujutia ila siku ya mwisho hata akiigusa tu kwa kidole baaaaasi karidhika..
Biashara maridhiano tu..!
 
Back
Top Bottom