Tehe!Hiyo noma sana.
Ndio njia nzuri na rahisi. Unapiga kizinga kimoja kitakatifu asipokimbilia jf kufungua uzi basi harudi tena.
hiyo ni kweli...Kuna demu wangu mwaka jana alinipiga mzinga wa jero ya vocha nikam blacklist, siku ya mwaka mpya kwa kutumia namba nyingine akaniambia amejua kosa lake nkamwambia haina shida aende tu maana kunipiga mzinga mimi ni sawasawa na kitishia maisha yangu.
Ukitoa papuchi ujue una interest nae.Ujinga ni pale una mkadiria kidogo, unaona umempiga kizinga halafu yeye anaona kama umempa papuchi lako kwa jero tu...LOL
halafu unaenda kutangaza kuwa umemkomesha na yeye anaenda kukutanga amekuokota kwa bei ya jioni
mambo yale ya kusema ooh nna boyfriend sijui am taken yashapitwa na wakati.
siku hizi ukiona a man anakufatafata and humtaki we mpige kizinga tu uone,tena first day tu,mara moja anakoma.
ni wachache sana wataendelea kusumbua after "kizinga".