Kiingereza ni lugha ya kimataifa huwezi kwepa ndugu
Sidhani kama ukienda Uingereza utakuta radio zao zina majina ya Kiswahili lakini sisi kwa kuanzia hawa Clouds FM, Capital FM, Radio Free Africa, Voice of Tabora na kadhalika, sasa ukitaka kudhihirisha kuwa kiswahili kina mapungufu mengi wewe sikiliza hiyo 'Clouds FM' vipindi vyao vya 'Sports' mtangazaji wao Jeffrea.
Huyu kwa ukweli anaudhi udhi udhi mno.
msiletege masuala ya hii redio kwenye jukwaa hili la great thinkers au wewe ni kibon..e?Sidhani kama ukienda Uingereza utakuta radio zao zina majina ya Kiswahili lakini sisi kwa kuanzia hawa Clouds FM, Capital FM, Radio Free Africa, Voice of Tabora na kadhalika, sasa ukitaka kudhihirisha kuwa kiswahili kina mapungufu mengi wewe sikiliza hiyo 'Clouds FM' vipindi vyao vya 'Sports' mtangazaji wao Jeffrea.
Huyu kwa ukweli anaudhi udhi udhi mno.
Sidhani kama ukienda Uingereza utakuta radio zao zina majina ya Kiswahili lakini sisi kwa kuanzia hawa Clouds FM, Capital FM, Radio Free Africa, Voice of Tabora na kadhalika, sasa ukitaka kudhihirisha kuwa kiswahili kina mapungufu mengi wewe sikiliza hiyo 'Clouds FM' vipindi vyao vya 'Sports' mtangazaji wao Jeffrea.
Huyu kwa ukweli anaudhi udhi udhi mno.
Sasa tufanye nini na wizara ya utamaduni/baraza la kiswahili tunavo vinaponda pesa yetu?kiswahili ni lugha adhimu yenye misamiati ya kutosha ndio maana hata umoja wa mataifa na vyombo mbalimbali vya kimataifa vikiwemo bbc na deuch welle radio na vyuo vya kiswahili mfano beijing china na marekani na uingereza vinakitumia sana, tatizo liko hapa nyumbani kuanzia viongozi wetu wanahabari wetu mpaka watu w kawaida kabisa kuchanganya Kiswahili na kiingereza ili tu waonekane wa kisasa na wasomi
mwishowe wanajikuta hawawezi kuongea kiswahili fasaha wala kiingereza fasaha!
hebu jaribu kusoma magazeti ya udaku na hizi redio za udaku utatamani kutapika jinsi wanavyochanganya kiingereza na kiswahili
tatizo linaanzia bakita wapowapo tu, wakifuatiwa na walimu na wakufunzi kwenye shule na vyuo vya uandishi ni uvundo mtupu mwisho ni wamiliki wa vyombo vya habari
Huyu ni mtangazaji wa radio anapaswa kufahamu kuwa jinsi ya kupasha habari kuna athari gani kwa msikilizaji!Sasa kwa wewe na huyo Jeffrea kutokujua (kujua mind you, not kujuwa) Kiswahili ndio kuna maanisha Kiswahili hakijajitosheleza?
Huyu ni mtangazaji wa radio anapaswa kufahamu kuwa jinsi ya kupasha habari kuna athari gani kwa msikilizaji!
Tafadhari msikilize japo siku moja tu.
Sasa ingaliitwa MAWIMBI RUDIA MAWINGU huoni kama watu wangechoka kuitamka, au hata kuiogopa !!
Nimemtumia huyu mtangazaji kwani amekuwa hajirekebishi licha ya ujumbe aliokwisha tumiwa na wasikilizaji wake, ndo maana nikadhani labda KISWAHILI ni tatizo kujieleza!Hoja yako ilitakiwa ijikite kuwa waandishi wa habari hawatumii Kiswahili fasaha na sio kwenye Kiswahili kutojitosheleza.
Kwa sababu kama Kiswahili hakijitoshelezi kama ulivyodai kwenye kichwa cha habari hapa, basi huyo Jeff na mwandishi mwengine yoyote hana kosa kwa kuchanganya na Kiingereza
Kwa upande mmoja nakubaliana nawe, lakini sio Jeff pekee anayefanya hivo ukiachilia mbali WAHESHIMIWA wabunge hivi karibuni nae rais wetu nilimsikia akichanganya lugha katika ufunguzi wa barabara.Nimemtumia huyu mtangazaji kwani amekuwa hajirekebishi licha ya ujumbe aliokwisha tumiwa na wasikilizaji wake, ndo maana nikadhani labda KISWAHILI ni tatizo kujieleza!
Kweli kabisa suala hapa ni UAMUZI tu, mbona Kichina hao Waingereza wanajifunza? Nilisikia hata majirani Msumbiji walikuwa na mpango wa kufundisha Kichina shuleni.Kwa iyo kiswahili sio lugha ya kimataifa???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums